Tanzania inampiga Ufaransa kama Ngoma

Tanzania inampiga Ufaransa kama Ngoma

Katika michuano hii, mechi zangu bora hadi sasa ni Morocco Vs Brazil, na Marekani Vs Brazil. Morocco walifugwa 1-0 lakini waliupIga sana. Marekani na Brazil ilikuwa 1-1, lakini ilikuwa kama unaangalia gemu ya wanaume. Niko likizo hivi nazifaidi mechi zote, Supersport 224 na 225. Halafu wale wa Morocco ni Waislamu lakini sikuona hijab Hadi kwa makocha wao. Ila hivi vitoto vya kike vizuri sana aisee, naenjoy sana kuvitazama
Hapo unafaidi mpira na uumbaji wa Allah

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa mbali huwezi kutambua kama wanaume/wanawake wanacheza au lah! Mpira mkubwa sana unachezwa.
.
Ile ni carpet foitball sometimes.
.
Nigeria wamekuwa bora sana kwa kipindi kirefu.
.
Morocco wanakuja juu sana hivi sasa. Brazil wataalamu kwa muda mrefu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Katika michuano hii, mechi zangu bora hadi sasa ni Morocco Vs Brazil, na Marekani Vs Brazil. Morocco walifugwa 1-0 lakini waliupIga sana. Marekani na Brazil ilikuwa 1-1, lakini ilikuwa kama unaangalia gemu ya wanaume. Niko likizo hivi nazifaidi mechi zote, Supersport 224 na 225. Halafu wale wa Morocco ni Waislamu lakini sikuona hijab Hadi kwa makocha wao. Ila hivi vitoto vya kike vizuri sana aisee, naenjoy sana kuvitazama
Dah vya brazil vizuri sana nadhani ukienda huwezi kurudi
 
Back
Top Bottom