Tanzania inamuhitaji Jaoa De Havelange katika soka, Jamal Malinzi ni chaguo sahihi.

Na hii ni dhana nzuri sana katika kukuza na kuthamini vipaji vya vijana wetu

Na kila siku tunasema kuwa,mfundishe mtu jinsi ya kuvua samaki ajitegemee, sio kumpa samaki ili aendelee kuwa tegemezi. Trust Fund itawafanya wachezaji wastaafu kujitegemea na kutatua matatizo yao wenyewe (Sisi Kwa Sisi Principle).
 
Na kila siku tunasema kuwa,mfundishe mtu jinsi ya kuvua samaki ajitegemee, sio kumpa samaki ili aendelee kuwa tegemezi. Trust Fund itawafanya wachezaji wastaafu kujitegemea na kutatua matatizo yao wenyewe (Sisi Kwa Sisi Principle).
Ninamuangalia leo Zamoyon Mogella na wengine mpaka inatia hurma
 
Tutayafanyaje hayo bila kupata viongozi thabiti kwanza?

Tumsimike kwanza Jamal kisha atuongoze kufanya hayo yote
Mkuu YN, Jibu sote tunalijua...Lakini tunsuasua na kusita kulianika !! 1. Piga booti(fukuza) wote, 2.Tuache ushirikina, 3.Tuondoe Siasa ktk.Michezo.... hapo tutaona mwangaza na mafanikio. Hayo yote kama nia na ari ipo.
 
Malinzi kaliona tatizo ila suluhisho lake hajalijua sawasawa. Kwanza sina uhakika Jella ameridhia picha yake itumike kwa kampeni. Hiyo trust fund kuna mahali imeshafanikiwa au it is his own invention? Mpira ni kazi kama kazi nyingine, wachezaji kama wanalipwa mishahara basi hata kiinua mgongo lazima wanacho. Tatizo la wachezaji wa Tanzania ni kutokuwa na bima na uwekezaji binafsi. Bima itamsaidia pindi akikatisha maisha yake ya soka kwa ajali, ilhali uwekezaji utamuingizia kipato baadaye. By the way, mimi siko upande wowote ila nilitamani TFF yenye muono sahihi wa soka.
 
Mkuu YN, Jibu sote tunalijua...Lakini tunsuasua na kusita kulianika !! 1. Piga booti(fukuza) wote, 2.Tuache ushirikina, 3.Tuondoe Siasa ktk.Michezo.... hapo tutaona mwangaza na mafanikio. Hayo yote kama nia na ari ipo.
Mkuu kwanza mimi huwa siamini katika kufukuza,

Ushirikina katika soka ni suala la dhahania tu halina uthibitisho kisayansi,

Siasa haziwezi kuondoka katika soka, jambo muhimu nikujua aina za siasa,

Soka lina siasa zake na ndizo huleta radha halisi ya soka,
 
kitu kimoja ninacho kionaq sijui kwa kweli kama malinzi atatoboa maana hawa kina nyamlan na tff wote kiujumla wamejipanga hasa kuhakikisha nyamlan anashinda.... cku ya uchaguz hakika kutakua na vitimbi vya kila aina tushingae uchaguz ukafanyika tofauti na mda!!! kwa kweli sion chance ya malinzi kushinda hata kama watanzania wengi ndio tunamuona ni sahihi!!!! always the bad guys win in this country!!!
 

kifupi ni CORRUPTION fro A to Z !!
 
Hata Uingereza ambako tunajifunza mambo mengi kuna hii kitu, kuna issue ya Gazza, jamaa ni muathirika wa ulevi uliopindukia lakini kwa kuwa ni mchezaji mstaafu ni wachezaji wenzake kupitia mfuko wao ndio wanamsaidia. Trust Fund ikipangiliwa vizuri itawaondolea adha si tu wachezaji wastaafu bali hata wale ambao wanapata majeraha ya muda mrefu yanayosababisha wao kuwa nje ya mpira kwa muda mrefu na hivyo kukosa bonasi ambazo kwa mpira wetu wa Tanzania ni muhimu sana katika uendeshaji wa maisha yao ya kila siku.
 
Naona yericko umeungana na zitto kumpgia debe malinzi. Lakini hebu thbtsha tuhuma za dawa za kulewa znazomkabili nyamlani
 
Naona yericko umeungana na zitto kumpgia debe malinzi. Lakini hebu thbtsha tuhuma za dawa za kulewa znazomkabili nyamlani
Thibitisha kwanza madai yako kuwa nimesema Nyamlani anauza dawa za kulevya,

Soma vema andiko langu mkuu, hakuna niliposema Nyamlani anauza madawa ya kulevya
 
Hivi mnawajua au mnawasikia wajumbe wa hili shirikisho, ni watu wasio na upeo mkubwa wa mambo, hali zao za maisha hovyoooo kwa maana nyingine wanautegemea huo huo mpira kuendesha maisha yao, wao hawachagui sera wala kiongozi bora wao wanaangalia nani ni mwenzio katika kutafuna hela za mpira na kuutumia mpira kwa manufaa yao.Hivyo basi naona MALINZI ni mtu sahihi sana kwa mabadiliko lakini wasiwasi wangu ni hao wajumbe.....ni bora malinzi aingie ata kwa kuhonga kuliko NYAMLANI aingie hili mpira uwe kijiwe cha wezi.
 
Nani wa kutuokolea soka letu? wajumbe waongozwe na dhamira za kweli vichwani na siyo nani katunisha zaidi mifuko yao, coz wakituletea viongozi bomu historia haitawaacha hivi hivi.
 
Nani wa kutuokolea soka letu? wajumbe waongozwe na dhamira za kweli vichwani na siyo nani katunisha zaidi mifuko yao, coz wakituletea viongozi bomu historia haitawaacha hivi hivi.
Na katika hilo Mungu awaongoze wajumbe wamchague Jamal Malinzi
 
Na hii ni dhana nzuri sana katika kukuza na kuthamini vipaji vya vijana wetu

Pamoja tutaweza
Chagua MALINZI
Chagua MABADILIKO
Mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania
Jamal Malinzi
Mgombea nafasi ya Urais
TFF
2013
Mpira ni afya, mpira ni burudani, mpira ni ajira kwa vijana!
 
Binafsi ninamuunga mkono Jamal Malinzi kuliongoza shirikisho la mpira Tanzania TFF kwakuwa naamini ana uwezo, ana vision na yuko determined kuleta mabadiliko ya kweli katika ustawi wa soka la Tanzania.

Kama wajumbe wa TFF wataamua kumchagua Nyamlani ni hakika kwamba soka letu litakuwa limeingizwa shimoni kwa miaka mine na hadi muda wake unaisha tutakuwa tumeumia kiasi cha kutosha.

Nimeshangazwa na hatua ya wapambe wa Nyamlani wanavyopita kwenye vyombo vya habari kumkashifu Jamal Malinzi, wapambe hao wakiongozwa na mchumia tumbo Abdul Kipenga wamekuwa wakiendesha kampeni za kipuuzi kabisa na ninashangaa ni kwanini kamati ya uchaguzi ya TFF imekaa kimya bila kuwakemea.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja tutaweza
Chagua MALINZI
Chagua MABADILIKO
Mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania
Jamal Malinzi
Mgombea nafasi ya Urais
TFF
2013
Mpira ni afya, mpira ni burudani, mpira ni ajira kwa vijana!

Kwa afya ya soka na mstakabali wake tiba ni Jamal Malinzi
 

Hao wapambe watapotea tu baada ya jumapili,

Mabadiliko ni sehemu muhimu kwa soka letu kwa sasa
 
Last edited by a moderator:

Pamoja sana Yericko. Wajumbe jamani Sikilizeni Kilio Chetu. TUCHAGULIENI JAMAL EMIL MALINZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…