Tanzania inamuhitaji Jaoa De Havelange katika soka, Jamal Malinzi ni chaguo sahihi.

Labda Malinzi ni chagauo sahihi kwako wewe na Yanga... nenda na Twitter kule ukampigie kampeni
 
Yericko nakuheshimu sana humu jukwaan ingekuwa vyema kama ungempigia kampeni malinzi bila kuchafua upande wa pili wa mshindan wake hzo ni tuhuma na kama una uthibitsho weka hapa Jukwaan tu
 
Yericko nakuheshimu sana humu jukwaan ingekuwa vyema kama ungempigia kampeni malinzi bila kuchafua upande wa pili wa mshindan wake hzo ni tuhuma na kama una uthibitsho weka hapa Jukwaan tu
Umesoma mwaka wa Uzi huu ulipotoka au unakurupuka tuu kisa Malinzi sio chaguo lako?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Ni wakati wa kumuweka Nyamlani. Makosa yalishafanyika na watu wengi walikuwa na imani nae.

Nyamlani ni mzoefu na kipindi kile TFF ya Tenga haikuwa na migogoro.
Ni mara elfu mia ya Malinzi kuliko Nyamlani,Nyamlani tunamfahamu vizuri sana tunasubiri kampeni zianze rasmi tumwage mchele kwenye kuku wengi.

Naona hii ID yako imeanzishwa juzi 18June2017 na ina post mbili mpaka sasa na zote ni za kumponda Malinzi tuu. Team Nyamlani tunatarajia mtafungua IDs mpya nyingi sana lakini sisi tupo mathubutu sababu hatuna shaka na utendaji wa Malinzi.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Dogo mie sio popoma kama wewe unayelipwa. Naangalia maslahi ya taifa na mchezo wa soka. Inakera kila siku timu ya taifa inafanya vibaya na huyo mjomba wako au ndio wewe Malinzi kil*za amekaa anachofanya akijulikani.
Infact acha kuchunguza ID za watu .Kama nimejiunga jana au juzi ni ya kwangu sio yako.
 
Ni mara elfu mia ya Malinzi kuliko Nyamlani,Nyamlani tunamfahamu vizuri sana tunasubiri kampeni zianze rasmi tumwage mchele kwenye kuku wengi.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
ukimfahamu,usipomfahamu Mimi hainiusu. Zaidi utahadithia umbea kama shilawadu

Malinzi ni changanyikeni na kabisa bora hata achukue Madega kuliko huyo asiejielewa.Simkubali hata kidogo- hafai hafai -hafai
 
Povu lala nini?njaa zitawamaliza vijana au kwakuwa ndio ajira hamma ukaamua kuchukua fursa ya kufungua ID mpya mahsusi kwa kumponda Malinzi na kumsifia huyo anaekulipa. Eti una uchungu na timu ya Taifa inafanya vibaya ulitaka Malinzi aingie uwanjani acheze kama timu ya taifa inapewa kila inachohitaji bila kukosa wala kupunjwa. Malinzi kaliona hili ndio maana ameamua kudeal na watoto/vijana wadogo maana hapo ndio msingi imara wa timu ya Taifa yenye mafanikiobya muda mrefu bali kwa kuwa watu kama nyie mmepewa vijisenti kumpinga Malinzi hamuwezi kuliona hili but muda ndio utawaumbua.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
ukimfahamu,usipomfahamu Mimi hainiusu. Zaidi utahadithia umbea kama shilawadu

Malinzi ni changanyikeni na kabisa bora hata achukue Madega kuliko huyo asiejielewa.Simkubali hata kidogo- hafai hafai -hafai
Hautamuelewa Malinzi kamwe kwa kuwa akili yako ishatekwa na njaa.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…