Tanzania inaongoza kuzalisha misemo ya utani kila siku

mzeefursa

Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
9
Reaction score
4
Katika kipindi hiki cha ujio wa simu za kupangusa(Ina maana smart phones). Mitandao ya kijamii imeshika nafasi kubwa sana kusambaza habari.
Sio kama zamani tulikuwa tunategemea redio,magazeti na TV ili kupata habari,lakin saiv watu wengi hawategemei vyanzo hivo pekee kuwa ndo source ya habari.

Saivi kuna facebook,whatsapp, instagram n.k..Mitandao hii ndo inaongoza sasa kwa habari

Kuna misemo mingi sana siku hizi inaibuka kila kukicha kwenye mitandao...mfano

>>Juzi kulikuwa na tukio la kupatwa kwa jua.sasa mtaani kila kitu ni kupatwa
http://bit.ly/2any6aK

>>Kuna kipindi Mugabe aliongoza kwa kuquote maneno...Kila sentensi fupi yenye mzaha ilionekana kuwa Mugabe ndio ameandika

>>>http://bit.ly/29TNtwg

************taendelea http://bit.ly/2any6aK *************
 
Wimbo ulitoka unaitwa NDI NDI NDI kila kona ukawa Ndindindiiii
 
Msemo wa "ni shidaa" ulifiaga wapi eti?
 
Baada ya mkuu kusema fyatueni watoto kila kitu mtaa nikawa ni kufyatua tuu
 
Hata wewe ni msemo....
 
Wewe uliemueka bibi kapatwa mzungu anakuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…