fangfangjt
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 571
- 139
tanzania ni moja ya nchi Africa zinazo ongoza kwa ajali kwenye sekta ya ujenzi hasa majengo. Hii inatokana wafanyakazi kutokua na mafunzo hafifu pamoja na kutokua na vifaa vya taaluma hiyo. Ajali nyingi zina husisha wajenzi kudondoka kutoka kwenye majengo.
Source RadioONE NIPASHE.
Source RadioONE NIPASHE.