Tanzania inaongoza kwa wingi wa ng'ombe EAC ila ya tatu kwa uzalishaji wa maziwa huku Kenya ikiongoza

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huu ndio mfano ambao unaonyesha vipi unaweza kuwa na raslimali nyingi lakini unyimwe akili, na pia vipi unaweza kuwa na raslimali chache, lakini upewe ubongo wa kuwaza mbinu za kuzalisha hadi uongoze ukanda wote.
Kenya ndio yenye ng'ombe wachache ukilinganisha na Tanzania na Uganda, lakini la kushangaza tunaongoza likija kwenye uzalishaji wa maziwa. Yaani Kenya imo katika mataifa matatu Afrika yanayoongoza kwa uzalishaji wa maziwa, mataifa mengine yakiwa Sudan na Misri, hivyo ina maana hata mijitu kama Afrika Kusini ipo nyuma yetu.
Hongera sana Wakenya kwa bidii hii yetu, pia nimefurahi jinsi Wakenya wengi wameanza kuchangamkia maparachchi, imekua ngumzo kote kote kwenye runinga zote na vituo vya redio, Mchina lazima tumlishe ili tujenge zaidi
--------------------------------------------------------------------
Tanzania ranks third in Africa in terms of cattle population after Sudan and Ethiopia. And the split of the war-torn Sudan into two countries---North and South---has placed Tanzania second after Ethiopia.
It is estimated that there are over 21.3 million cattle in Tanzania, where 680,000 are dairy cattle with the capacity to produce 1.65 billion litres annually, making the country the third milk producer in East Africa after Kenya and Uganda.
Kenya, Sudan and Egypt also rank among the top milk-producing countries on the continent, all contributing significantly to Africa’s 13.4 million dairy farms.
 
Asilimia kubwa ya ng'ombe wa Tanzania sio ng'ombe wa maziwa ni ng'ombe wa nyama.
Ni dizaini ya ng'ombe ambaye ukimkamua anatoa maziwa lita nane wakati yule ng'ombe wa maziwa mwenyewe anatakiwa atoe hadi lita arobaini kwa siku!
 
Wewe mtoa mada hujui, utamu wa ngo'mbe wa asili wa kienyeji, maziwa yake ni matamu sana na virutubisho vyote, but machache tu huwa yanapatikana.

Lakini huko Kenya ni high bleed cows, (Genetic engineered type of breeding) wanatoa maziwa mengi 60 ltr/24

hayana virutubisho vya asili, wanakula modified milk and they are comfortable about it, nonetheless ram-pats white Caucasians are all behind that missions of high productions mechanism so as to be admired by other Africans countries in connection with their long stay, and best economies monopoly post colonial era,
come what may hatudanganyiki, kwa sababu hiyo janja yao.

Kwa nini hamuiuzii Tanzania au basi Africa nzima maziwa kama ni mengi? but UK wanatoa mwanya na opprtunities for minority Black Elites businessman wa kununua maziwa ya kenya, and strongly support whites cattle farmers, wanaozalisha hapo Kenya, tena wanapewa na mikopo ya kuendesha yale mashamba makubwa ya Chai na mifugo, eg kisumu farms,

Hapo jirani ya Kenya- Musoma district wana maziwa ya kutosha, yanaenda mpaka Isbania na Nakuru kutoka Musoma na Tarime.
wa kenya wanaoelewa hawatumii Modified milks, yana cancer hayo maziwa ya kisasa so wanaagiza kutoka TZ
 
Whites communities wame- pick some few countries, ambazo hizo wata zi support social economically well doing better in comparison with easy going countries in the continent, these few countries like Gabon, kenya, Botswana are taken as their legal conquering symbol, and invesitment economy admiral.
tena zina chukuliwa ki kanda. ili watawale uchumi wa Africa,.
 
Kuelewa haya lazima uwe umechanganya na vitu vya wazee wa conspiracy. vinginevyo wengine wataona ni hekaya tu za abunuwasi.
 
Huu ndio mfano ambao unaonyesha vipi unaweza kuwa na raslimali nyingi lakini unyimwe akili, na pia vipi unaweza kuwa na raslimali chache, lakini upewe ubongo wa kuwaza mbinu za kuzalisha hadi uongoze ukanda wote.
Kenya ndio yenye ng'ombe wachache ukilinganisha na Tanzania na Uganda, lakini la kushangaza tunaongoza likija kwenye uzalishaji wa maziwa. Yaani Kenya imo katika mataifa matatu Afrika yanayoongoza kwa uzalishaji wa maziwa, mataifa mengine yakiwa Sudan na Misri, hivyo ina maana hata mijitu kama Afrika Kusini ipo nyuma yetu.
Hongera sana Wakenya kwa bidii hii yetu, pia nimefurahi jinsi Wakenya wengi wameanza kuchangamkia maparachchi, imekua ngumzo kote kote kwenye runinga zote na vituo vya redio, Mchina lazima tumlishe ili tujenge zaidi
--------------------------------------------------------------------
Tanzania ranks third in Africa in terms of cattle population after Sudan and Ethiopia. And the split of the war-torn Sudan into two countries---North and South---has placed Tanzania second after Ethiopia.
It is estimated that there are over 21.3 million cattle in Tanzania, where 680,000 are dairy cattle with the capacity to produce 1.65 billion litres annually, making the country the third milk producer in East Africa after Kenya and Uganda.
Kenya, Sudan and Egypt also rank among the top milk-producing countries on the continent, all contributing significantly to Africa’s 13.4 million dairy farms.
Upeo wako wa kuelewa umekomea hapo. Sio kila ng'ombe atoe maziwa.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hatuko kwa ajili ya kutajwa - tuko kwa ajili ya mambo yetu binafsi. Wakenya kwa sababu ya kujikomba ndo maana mnapenda kutajwatajwa. Angalia mlivyojazana kwetu mnaukana uraia wenu na kujifanya watanzania.
Mwambie hakupendi fake sifa sisi
 
mhn!
ukweli mchungu lakini lazima tumeze ili tupone!
kikweli tanzania toka zamani mifugo haikuwa kwa ajiri ya biashara na hasa kufikiria soko la nje. mifugo ilitumia kwa jaili ya matumizi ya familia na mahali kama kuuzwa lilitazamwa zaidi soko la ndani.
watanzania wengi hawana tamaduni ya kunywa mazimwa hasa mikoa kama ya tanga,morogoro,dar si salama, pwani ,lindi,mtwara,songea wenyeji wa mikoa hii si wanywaji hasa wa maziwa ingawa kunaidadi kubwa la watu na kusababisha soko la maziwa kutozingatiwa toka mwanzo mfano mzuri ni rahisi kununua maziwa morogoro ukayauza dodoma na ikakulipa morogoro lita 1500/- dodoma kwenye wafugaji lita 2000/- hivyo wachuuzi wanaagiza maziwa maziwa morogoro wanauza dodoma ukibisha nenda nanenane stendi utakutana na akinamama wakipokea maziwa.
lakini kwa yote haya inatokana kuwa bado hatujaweka mkazo mkubwa katika kuuza nje bidhaa zetu japo yapo mabadiliko.
hata hivyo kenya wasijidai sana kwakuwa makampuni ya wazawa wanaouza nje bidhaa ni wachache na uchumi wao mkubwa umeshikiliwa na watu wachache ukilinganisha na kwetu na kutufanya sisi kuwa na hali bora kwa ujmla kuziwa wao.
lakini naamini si muda mrefu tutawafunika kwakuwa njaa tulionayo sasa imetufundisha kutokudeka!
 
Wafugaji wetu sio kama Kenya na Uganda,huko wanafuga kwa kuhifadhi malisho kwa kuweka uzio na kumlisha kwa awamu, huku Tanzania wafugaji hawapo ni wachungaji,Wamasai,Wasukuma,
Wabarbaig wamevuruga toka Longido na Shinyanga mpaka Morogoro,Pwani, Mbeya,Katavi hadi Rukwa. Sasa Ng'ombe anayetembea kilometa zote hizo atatoa maziwa kweli.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Yes! Tanzania tukitaka kubadilika tunaweza sana tena sana; waache waendelee kutamba na vimaziwa vyao hivyo - ipo siku watalia na kusaga meno.
 
mhn!
ukweli mchungu lakini lazima tumeze ili tupone!
kikweli tanzania toka zamani mifugo haikuwa kwa ajiri ya biashara na hasa kufikiria soko la nje. mifugo ilitumia kwa jaili ya matumizi ya familia na mahali kama kuuzwa lilitazamwa zaidi soko la ndani.
watanzania wengi hawana tamaduni ya kunywa mazimwa hasa mikoa kama ya tanga,morogoro,dar si salama, pwani ,lindi,mtwara,songea wenyeji wa mikoa hii si wanywaji hasa wa maziwa ingawa kunaidadi kubwa la watu na kusababisha soko la maziwa kutozingatiwa toka mwanzo mfano mzuri ni rahisi kununua maziwa morogoro ukayauza dodoma na ikakulipa morogoro lita 1500/- dodoma kwenye wafugaji lita 2000/- hivyo wachuuzi wanaagiza maziwa maziwa morogoro wanauza dodoma ukibisha nenda nanenane stendi utakutana na akinamama wakipokea maziwa.
lakini kwa yote haya inatokana kuwa bado hatujaweka mkazo mkubwa katika kuuza nje bidhaa zetu japo yapo mabadiliko.
hata hivyo kenya wasijidai sana kwakuwa makampuni ya wazawa wanaouza nje bidhaa ni wachache na uchumi wao mkubwa umeshikiliwa na watu wachache ukilinganisha na kwetu na kutufanya sisi kuwa na hali bora kwa ujmla kuziwa wao.
lakini naamini si muda mrefu tutawafunika kwakuwa njaa tulionayo sasa imetufundisha kutokudeka!

Umeanza kwa kuiweka sawa ila umemalizia vibaya kwa zile ngonjera zenu za kila siku mnazotumiaga kujiiwaza kwamba Kenya imemilikiwa na mzungu.
Ni kweli kwamba Watanzania wengi hawana desturi ya kunywa maziwa au chai ya maziwa, hili nililiona sana kwenye maeneo mengi ambayo nilitembelea ndani ya nchi yenu. Chai ya rangi ndio mpango mzima, ukiagiza chai ya maziwa watu wanakushangaa shangaa, hii imechangia kwa wafugaji kutokuzingatia umuhimu wa kufuga ng'ombe wa maziwa.
Hapa kwetu ukiagiza chai ya rangi hutapata hata kwa mama nintilie au mahotelini, labda usubiri iandaliwe kwa ajili yako.
 
kwa kweli bado tunasafari ndefu kwakuwa hatupendi hata vyakwetu lakini tupigieni kelele tutafika tu! mlitucheka hatujui kiingereza lakini angalau watoto wetu sasa wanatengeza uwezo wa kujua kingereza na kuwafanya wawe bora zaidi kwa kuongea lugha mbili vizuri kiingereza na kiswahili na kwa kuwa watanzania ni wakarimu na waaminifu kuliko wakenya tutafanya vizuri zaidi siku zijazo wacha tuliokosea tupite itabaki kuwa historia muda si mrefu. ikizingatiwa na wewe unakubali tulasilimali kubwa na hazijatumika kikamilifu.
 
Huu ndio mfano ambao unaonyesha vipi unaweza kuwa na raslimali nyingi lakini unyimwe akili, na pia vipi unaweza kuwa na raslimali chache, lakini upewe ubongo wa kuwaza mbinu za kuzalisha hadi uongoze ukanda wote.
Kenya ndio yenye ng'ombe wachache ukilinganisha na Tanzania na Uganda, lakini la kushangaza tunaongoza likija kwenye uzalishaji wa maziwa. Yaani Kenya imo katika mataifa matatu Afrika yanayoongoza kwa uzalishaji wa maziwa, mataifa mengine yakiwa Sudan na Misri, hivyo ina maana hata mijitu kama Afrika Kusini ipo nyuma yetu.
Hongera sana Wakenya kwa bidii hii yetu, pia nimefurahi jinsi Wakenya wengi wameanza kuchangamkia maparachchi, imekua ngumzo kote kote kwenye runinga zote na vituo vya redio, Mchina lazima tumlishe ili tujenge zaidi
--------------------------------------------------------------------
Tanzania ranks third in Africa in terms of cattle population after Sudan and Ethiopia. And the split of the war-torn Sudan into two countries---North and South---has placed Tanzania second after Ethiopia.
It is estimated that there are over 21.3 million cattle in Tanzania, where 680,000 are dairy cattle with the capacity to produce 1.65 billion litres annually, making the country the third milk producer in East Africa after Kenya and Uganda.
Kenya, Sudan and Egypt also rank among the top milk-producing countries on the continent, all contributing significantly to Africa’s 13.4 million dairy farms.
Yua vere stupidi Tanzania milk from kawo toze mauthi endelea kusikiliza porojo ya wazungu tunakunywa maziwa freshi kuliko yaliyo pitia viwandani na kuwa rekodedi
 
Kenya ukinywa chai ya maziwa mgahawani lazima uilipie kodi yaani tax na makato yote

Lakini huku bongo unaamua unywe chai ya maziwa au rangi bila kulipa kodi
Huo ndo utofauti
 
Back
Top Bottom