Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
Kenya ipi hiyo???Kenya ukinywa chai ya maziwa mgahawani lazima uilipie kodi yaani tax na makato yote
Lakini huku bongo unaamua unywe chai ya maziwa au rangi bila kulipa kodi
Huo ndo utofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya ipi hiyo???Kenya ukinywa chai ya maziwa mgahawani lazima uilipie kodi yaani tax na makato yote
Lakini huku bongo unaamua unywe chai ya maziwa au rangi bila kulipa kodi
Huo ndo utofauti
eti wanaenda porini na kuchinja kienyeji, kimyakimya na kugawa watu kumi ndio maana si rahisi kupata official data.Ng'ombe wetu si wa maziwa ndio maana hawapo kwenye hiyo list, ila ni wa nyama ila bado hatumo kwenye list ya wauza minofu kwa wingi...This is funny though! 😂