Ila Kenya your days are numbered tatizo hayo maziwa mnayojitambia mnanunua Kilimanjaro na arusha afu mnayaprosess ,Ila mkibaniwa mnalialia,my take Tanzania tujitambua tulikosea wapi mana inavyoonrkana Kenya is benefiting in advance ya resources za majirani majirani wanaanza kupiga pin sasa hivi naona wakenya uchumi wao wanatafutana ,example tourism, manufacturing and agro products