Haya yanayofanywa na Executive, Parliament na Mahakama yanatia uchungu.
1. Executive-Rais anafanya lolote, lolote nje ya sheria. Mara kadhaa katiba imevunjwa siyo kwa bahati mbaya, bali makusudi. Rais yuko juu ya sheria na Katiba!
2. Parliament: Yanayofanywa na Nduguai ni vituko vya kuvunja katiba waz wazi bila kukemewa.
3. Judiciary: Mahakimu Ya watuhumiwa kunyimwa dhamana kwa makosa yanayodhaminika -Jana tu ya Idris, Lema na mengine mengi. Hukumu za hovyo kama ya Wakurugenzi kusimamia uchaguzi toka apex Court- court of appeal na kama za akina Mashauri na kupandishwa vyeo kuwa majaji! CJ kutosimamia independence of the judiciary. ...kupokea amri kutoka Executive
Najua mtasema hakuna ushahidi, but time will tell!