Ni kweli uliosema maana siku hizi hatusumbuliwi na majambazi , you ni kuonyesha kuna unlawlessness in wapiga polishi na wachoma mishikaki language,Haya yanayofanywa na Executive, Parliament na Mahakama yanatia uchungu.
1. Executive-Rais anafanya lolote, lolote nje ya sheria. Mara kadhaa katiba imevunjwa siyo kwa bahati mbaya, bali makusudi. Rais yuko juu ya sheria na Katiba!
2. Parliament: Yanayofanywa na Nduguai ni vituko vya kuvunja katiba waz wazi bila kukemewa.
3. Judiciary: Mahakimu Ya watuhumiwa kunyimwa dhamana kwa makosa yanayodhaminika -Jana tu ya Idris, Lema na mengine mengi. Hukumu za hovyo kama ya Wakurugenzi kusimamia uchaguzi toka apex Court- court of appeal na kama za akina Mashauri na kupandishwa vyeo kuwa majaji! CJ kutosimamia independence of the judiciary. ...kupokea amri kutoka Executive
Najua mtasema hakuna ushahidi, but time will tell!
Haya yanayofanywa na Executive, Parliament na Mahakama yanatia uchungu.
1. Executive-Rais anafanya lolote, lolote nje ya sheria. Mara kadhaa katiba imevunjwa siyo kwa bahati mbaya, bali makusudi. Rais yuko juu ya sheria na Katiba!
2. Parliament: Yanayofanywa na Nduguai ni vituko vya kuvunja katiba waz wazi bila kukemewa.
3. Judiciary: Mahakimu Ya watuhumiwa kunyimwa dhamana kwa makosa yanayodhaminika -Jana tu ya Idris, Lema na mengine mengi. Hukumu za hovyo kama ya Wakurugenzi kusimamia uchaguzi toka apex Court- court of appeal na kama za akina Mashauri na kupandishwa vyeo kuwa majaji! CJ kutosimamia independence of the judiciary. ...kupokea amri kutoka Executive
Najua mtasema hakuna ushahidi, but time will tell!
Hii demokrasia ya kimagharibi, haiwezi kufanya kazi kwenye nchi zenye uchumi mdogo kama TZ,Haya yanayofanywa na Executive, Parliament na Mahakama yanatia uchungu.
1. Executive-Rais anafanya lolote, lolote nje ya sheria. Mara kadhaa katiba imevunjwa siyo kwa bahati mbaya, bali makusudi. Rais yuko juu ya sheria na Katiba!
2. Parliament: Yanayofanywa na Nduguai ni vituko vya kuvunja katiba waz wazi bila kukemewa.
3. Judiciary: Mahakimu Ya watuhumiwa kunyimwa dhamana kwa makosa yanayodhaminika -Jana tu ya Idris, Lema na mengine mengi. Hukumu za hovyo kama ya Wakurugenzi kusimamia uchaguzi toka apex Court- court of appeal na kama za akina Mashauri na kupandishwa vyeo kuwa majaji! CJ kutosimamia independence of the judiciary. ...kupokea amri kutoka Executive
Najua mtasema hakuna ushahidi, but time will tell!
You are less informed! Achana na petty issues, kuna mambo ya msingi. Usiangalie ya polisi tu, think wider!Ni kweli uliosema maana siku hizi hatusumbuliwi na majambazi , you ni kuonyesha kuna unlawlessness in wapiga polishi na wachoma mishikaki language,
Rushwa rushwa za hivyo hivyo sizisikii, barabara naona zinajengwa za kiwango hata kwenye unplanned area sasa Mji unaanza kuonekana vizuri zaidi, lakini ktk macho ya wapiga polishi hiyo ni alama ya unlswlessness, sasa hivi drainage systems zinajengwa kwa nia ya kuthibiti kwa kiasi kikubwa mafuriko na uchaguzi wa maeneo yetu , lakini hii kwa wachoma mishikaki ni unlawlessness, siku hizi matumizi ya mifumo ya computer inatumia vizuri kwa maslahi ya nchi kama kuwa na data base ya wananchi, kujifanya kodi za tra na za viwanja, kuwa na data base ya nyumba na viwanja, lakini kwa ndugu zetu wa Saccos, hiyo ni Familia au kiashiria cha nchi yenye unlawlessness n.k
Waulize wachina , NK kama wako comfortable na ujinga wa madikiteita wao! NK wanatoroka kila leo kutafuta kuliko na demokrasia! All in all, jadili hoja nlizoziandika kwenye post if they hold water.Bora tuwe na mfumo, kama wa China, Korea Kaskazini, ambapo, kuna chama kimeshika hatamu, lakini kinafanya mambo mazuri kwa nchi, cheki china inavyotamba ulimwenguni,
Na Tanzania tulikuwaga kama China enzi za mwinyi na Nyerere, ni maendeleo yapi ya maana tuliyafanya, na kama yalikuwepo Basi yalikuja kuhalibiwa na CHAMA gani??.Hii demokrasia ya kimagharibi, haiwezi kufanya kazi kwenye nchi zenye uchumi mdogo kama TZ,
Najaribu kuangalia, wenzetu wa Kenya, walivyogatua mambo ya uongozi, sasa hv Raisi na Makamu wake, DP Ruto, hawaivi chungu kimoja, wanapingana hadharani, uchumi wa nchi unahudumia siasa, hapo maendeleo hakuna, Mahakama inatengua uchaguzi, harafu wananchi wanakamuliwa mapesa mengine mengi, kufanya uchaguzi mwingine, harafu tunaona hayo ni mambo mazuri yenye faida kwa mwananchi! Ambaye hana hata huduma nzuri za afya, maji, elimu.
Bora tuwe na mfumo, kama wa China, Korea Kaskazini, ambapo, kuna chama kimeshika hatamu, lakini kinafanya mambo mazuri kwa nchi, cheki china inavyotamba ulimwenguni,
Kabla ya kufsnya hii demokrasia ya kimagharibi, nchi kwanza, ilibidi zijenge uchumi kwanza,
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana wahi hosptal!Haya yanayofanywa na Executive, Parliament na Mahakama yanatia uchungu.