Tanzania tuitakayo inataka mambo mengi sana ili tufike katika lengo letu ila Kuna mambo ya muhimu ambayo tunaweza kuanza nayo ili Yale mengi tunayo yataka yapate kufanikiwa kabla ya yote Tanzania inatakiwa kukaa chini kujiuliza niwapi nakosea niwapi nazingua na kwanini sifikii malengo yangu na ili nifikie napaswa kufanya nini na ni jambo gani nikifanya naweza kuwafikia watu wengi zaid .
Mfano wa company ili ikue company itahitaji BIASHALA ITAKAYO WAFIKIA WATU WENGI WAFANYA KAZI VIONGOZ WANUNUA HISA ili kila mtu asimame kwenye nafasi yake nilazima company hiyo itengeneze sheria itakayo isaidia company kukua na kila mmoja anufaike TANZANIA YANGU.
Vitu muhim vinavyo takiwa kupewa kipaumbele kwanza "KILIMO" NA "MIUNDOMBINU YA. BALABALA" Kwanini ni KILIMO sababu ya1 uwe hujasoma uwe umesoma asilimia kubwa ya watanzania wanaweza kufanya ya 2 Tanzania inaeneo la kutosha ya 3ukosefu wa chakula hautakuwepo na pia ili upate aidia mbalimbali ni lazima ule kwanza ushibe ndo utapata nguvu yakufanya mambo mengine mfano: familia inapata mlo mala Moja kwa siku itapata nguvu ya kusema nataka wanangu wasome shule nzuli chakula chenyewe hakiparikani atapata hela ya kumlipia mtoto shule nzuli.
TANZANIA inatakiwa kumtengenezea mazingila ya kupata soko ndani na nje ya nchi kumpa elimu kuhusu kilimo. MIUNDOMBINU YA BALABALA ikiwa mizul itamsaidia mkulima kuifikia soko kwa wakati na pia ili yote yakamilike pasipo kuzulumiana SHELIA iwepo itakayo mlinda na kumkumbusha nini afanye na kipi asifanye

Upvote
0