Prof Phraoh AI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 1,269
- 2,311
Dozi iyo siipo kwa mtu ambaye negativekuna watu wanasema " tumerithishwa tuwaruthithe,"
Alternative nyingine ni kutochukua hiyo dose na kuendelea kupiga kavu, chaguo ni lakoHivi bado kuna watu mnaamini hii SCAM(Drama) kuhusu ukimwi!?,peleka hizi story serikali ya China au ujerumani kama hujaonekana kituko.
Umeshasikia story ya ponera wa Zanzibar BICHWA KOMWE -Kipande cha mkate mtego wa panya
Kama nawaona walugulu, na wanavopenda mizagamuo.. Muda wote lazima iwe ndaniKatika kipindi ambacho mapambano dhidi ya maambukizi ya UKIMWI yamekuwa yakitegemea nidhamu ya matumizi ya kila siku ya dawa za (PrEP), au wengi wanavyo ziita kama ARV,
Sasa Tanzania inaanza kuingia katika hatua mpya ya kinga ya muda mrefu kwa kuanza matumizi ya Lenacapavir, dawa inayodungwa mara moja kila baada ya miezi sita kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya HIV.
Hatua hii inawasilisha namna mpya ya kinga inavyotolewa na kupokelewa katika jamii.
Lenacapavir, iliyotengenezwa na kampuni ya dawa ya Marekani Gilead Sciences, ni dawa ya kundi la “capsid inhibitors” inayofanya kazi kwa kuzuia hatua muhimu katika mzunguko wa uzalishaji wa virusi vya VVU. Tofauti na PrEP ya kila siku kama Truvada au Descovy, sindano hii hutolewa mara mbili tu kwa mwaka.
Katika majaribio ya kimataifa, ikiwemo tafiti zilizohusisha wanawake na vijana barani Afrika, dawa hii ilionyesha ufanisi mkubwa sana katika kuzuia maambukizi mapya ya VVU, hali iliyoibua matumaini mapya katika mikakati ya afya ya umma.
Utekelezaji wake nchini Tanzania umeanza katika mazingira ya tahadhari na tathmini ya karibu, ukilenga makundi yaliyo katika hatari kubwa ya maambukizi. kwa miaka mingi, changamoto kubwa katika kinga ya VVU haikuwa tu upatikanaji wa dawa, bali mwendelezo wa matumizi. Watu wengi walishindwa kudumisha matumizi ya kila siku kwa sababu za kijamii, kiuchumi, au unyanyapaa.
Sindano ya maramoja kwa miezi sita inabadilisha hali hiyo: inahamisha mzigo wa nidhamu ya kutumia dawa kilasiku kwenda katika ratiba ya kliniki iliyopangwa mara mbili tu kwa mwaka.
Katika muktadha wa Tanzania ambapo juhudi za kupunguza maambukizi mapya zimekuwa zikiendelea chini ya mipango ya kitaifa kwa kushirikiana na wadau wa kimataifa, kuanza kwa matumizi ya Lenacapavir si tukio la kifamasia pekee bali ni jaribio la kuona kama muundo wa utoaji wa huduma unaweza kuathiri tabia ya kinga.
Kwa kuanzishwa kwa dawa hii, Tanzania inaingia katika awamu ambayo kinga ya HIV inaweza kupatikana kwa kwenda hospitali mara mbili tu kwa mwaka. badala utaratibu uliozoeleka wa kutumia dawa kila siku.
Ikiwa utekelezaji utaonyesha mafanikio katika kupunguza maambukizi mapya, hatua hii inaweza kubadilisha kwa kiasi kikubwa mkakati wa kitaifa wa kuzuia HIV na kuonyesha kwamba katika mapambano dhidi ya janga la muda mrefu, ubunifu wa ratiba tu unaweza kuwa na umuhimu kuliko ilivyokuwa ikidhaniwa.
AIDS = ARV'S, ukiambiwa una ukimwi usimeze ARV'S, kale vizuri wiki 3, nenda kapime kokote ulete majibu.Alternative nyingine ni kutochukua hiyo dose na kuendelea kupiga kavu, chaguo ni lako
Fafanua inamaana hakunaga gonjwa la ukimwiAIDS = ARV'S, ukiambiwa una ukimwi usimeze ARV'S, kale vizuri wiki 3, nenda kapime kokote ulete majibu.
NB:, Usipopima ukimwi hutakaa uwe na ukimwi, .
Mkuu UKIMWI ni upungufu wa kinga mwilini, upo miaka yote tangu Dunia iumbwe na utakuwepo miaka yote, kupungukiwa kinga ni kawaida kwa mwili baada ya muda mwili una recover, kuna ugonjwa ulijitokeza miaka ya 80 ukapatiwa dawa, ila wamarekani wakatembelea nyota mpaka leo kama ilivyotokea kwa COVID, wakaleta ARVs ukianza kuzitumia zinakuondolea kinga asili unaanza kuzitegemea ndo maana baada ya miezi mitatu ya kutumia ARVs ni ngumu kuziacha. Ukiambiwa una ukimwi kale vizuri baada ya mwezi kapime hospitali yoyote kama utakuta kitu. Story ni ndefu, tafuta documentary inaitwa HOUSE OF NUMBERS ipo YouTube, itakupa mwanga kidogo. H.I.V doesn't exist, it's a SCAM.Fafanua inamaana hakunaga gonjwa la ukimwi
Ok ngoja niitafute hii documentaryMkuu UKIMWI ni upungufu wa kinga mwilini, upo miaka yote tangu Dunia iumbwe na utakuwepo miaka yote, kupungukiwa kinga ni kawaida kwa mwili baada ya muda mwili una recover, kuna ugonjwa ulijitokeza miaka ya 80 ukapatiwa dawa, ila wamarekani wakatembelea nyota mpaka leo kama ilivyotokea kwa COVID, wakaleta ARVs ukianza kuzitumia zinakuondolea kinga asili unaanza kuzitegemea ndo maana baada ya miezi mitatu ya kutumia ARVs ni ngumu kuziacha. Ukiambiwa una ukimwi kale vizuri baada ya mwezi kapime hospitali yoyote kama utakuta kitu. Story ni ndefu, tafuta documentary inaitwa HOUSE OF NUMBERS ipo YouTube, itakupa mwanga kidogo. H.I.V doesn't exist, it's a SCAM.
Moja ya malengo yao ni kufika 2030 if am not mistaken hakutakuwa na maambukizi mapya so wa huku wa huku wakule wa kule..unao unao huna huna kiranga chako tu ndio kitakuponza kuapata maambukizi mama endapo kinga/chanjo haitatumikaMuda si mrefu, watu negative watabaki negative.
Wewe ni SCAMMkuu UKIMWI ni upungufu wa kinga mwilini, upo miaka yote tangu Dunia iumbwe na utakuwepo miaka yote, kupungukiwa kinga ni kawaida kwa mwili baada ya muda mwili una recover, kuna ugonjwa ulijitokeza miaka ya 80 ukapatiwa dawa, ila wamarekani wakatembelea nyota mpaka leo kama ilivyotokea kwa COVID, wakaleta ARVs ukianza kuzitumia zinakuondolea kinga asili unaanza kuzitegemea ndo maana baada ya miezi mitatu ya kutumia ARVs ni ngumu kuziacha. Ukiambiwa una ukimwi kale vizuri baada ya mwezi kapime hospitali yoyote kama utakuta kitu. Story ni ndefu, tafuta documentary inaitwa HOUSE OF NUMBERS ipo YouTube, itakupa mwanga kidogo. H.I.V doesn't exist, it's a SCAM.