Tanzania inatarajia kuanza kutumia kinga ya HIV

Tanzania inatarajia kuanza kutumia kinga ya HIV

Mkuu UKIMWI ni upungufu wa kinga mwilini, upo miaka yote tangu Dunia iumbwe na utakuwepo miaka yote, kupungukiwa kinga ni kawaida kwa mwili baada ya muda mwili una recover, kuna ugonjwa ulijitokeza miaka ya 80 ukapatiwa dawa, ila wamarekani wakatembelea nyota mpaka leo kama ilivyotokea kwa COVID, wakaleta ARVs ukianza kuzitumia zinakuondolea kinga asili unaanza kuzitegemea ndo maana baada ya miezi mitatu ya kutumia ARVs ni ngumu kuziacha. Ukiambiwa una ukimwi kale vizuri baada ya mwezi kapime hospitali yoyote kama utakuta kitu. Story ni ndefu, tafuta documentary inaitwa HOUSE OF NUMBERS ipo YouTube, itakupa mwanga kidogo. H.I.V doesn't exist, it's a SCAM.
Inaonekana wewe ni mtu' wa Dini sana'

If am not mistaken,lakini sijui hiyo documentary uliiona na kuisikia wapi... Actually hatuwezi kuzuia hilo unapohitaji kuendelea kuamini hilo.

Nimewahi kukutana na mtu, aliyepimwa maambukizi 2006 na kugundulika Positive na hakuwahi kutumia dawa yeyote, last year alikua kwenye hali mbaya mnoo... Baada ya Matibabu at least Nuru imerejea kwake.

Nataka kukuprove kuwa unachotaka kuwaaminisha kuwa ukiwa positive kula vizuri then after 3 months kapime na utakuwa negative, IT'S A BIG LIE

sasa huyo kakaa more than 20's year na still yuko positive, tunaanzaje kuaamini unalolieleza.

Hizi Dini hizi...

Africa tumelala ni Muda wa kuamka
 
Mkuu sipo kidini yoyote, Nina ushahidi wa 100%, kuna madaktari wamarekani, wajerumani etc mabingwa wamefungiwa kwa kueleza haya ninayokwambia. Anza na hiyo documentary itakupa mwanga, kama hutaki kufikiri nje ya box yawezekana wewe ndo umeaminishwa kama watu wa dini. Hapa unaongea na fikra huru , Huwa natumia logic siendeshwi na Imani. Tafuta house of numbers documentary itakupa mwanga fulani. Robert Gallo ndio chanzo Cha hizi matatizo.
 
Back
Top Bottom