Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Mkuu kivupi tena?Bila shaka mambo yaliyomo kweny uzi ni matamu. Ila hiyo lugha inavyogongana kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kivupi tena?Bila shaka mambo yaliyomo kweny uzi ni matamu. Ila hiyo lugha inavyogongana kichwani
Unajuwa Africa ina nchi 54, na zote zinataka kujikwamuwa kiuchumi. Kaza kamba za viatu, Kenya is not that special. Na wengine wanaogelea kwenye same pool.
Haha [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbele kwa mbele, Kenya ipo tu, mtatamani tupotee kwenye map lakini tupo humu tunawapumulia hadi kero.
Sawa na Kenya 2025 itakuwa wapi? Highly developed country au? Usisahau Kenya ni middle income country tangu siku inapewa Uhuru wake!
Mzungu alikabidhi nchi kwa Wakenya ikiwa ni middle income tayari!
Wakikuyu bhana! Zile ndege za umwagiliaji mlizo nunua zimefika kenya kwanza ? [emoji23][emoji23][emoji23]Mto upi huo, maana tayari tulishauvuka kitambo.
Bado saana ndugu yangu hujafika popote.ukitekeza kidogo tu unaweza kujikuta umerudi nyuma kiuchumi miaka 10.Over spending na ufisadi mwingi unafanya uchumi wa kenya usinyae tu.Badala ya kuelekeza pesa kwenye matatizo ya wananchi UK anajenga uzio!huo uzio wenyewe alshabab anakata na mkasi anateleza upande wa pili,hakuna askari wa kuweza kufika kilometa zote hizo.Hakuna uamuzi wa kipuuzi kufanywa na UK kama huo wa kujenga ukuta halafu mnahimiza utangamano,utangamano wa nini,wakati mmeweka uzio kwa jirani zenu.Baada ya kushindwa vita mmeona dawa ni kutapanya pesa za walipa kodi kwa kujenga uzio wa waya!Mto upi huo, maana tayari tulishauvuka kitambo.
Taja exampleIn reality we are above Kenya in each and every single bit. These people are good on talking and arrogance but in reality they are empty as vacuum.
Na kwanini WaTz waogopa wakikuyu hivi??Wakikuyu bhana! Zile ndege za umwagiliaji mlizo nunua zimefika kenya kwanza ? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnachapa kazi? Kama ipi?Huo wimbo wa kutuwacha mno tumeusikia tangu enzi za mababu zenu, nyie ni wale wale Waswahili, tumewazoea, ubavu wa kuipiku Kenya hamna. Likija suala la uchapaji kazi, Mkenya mmoja anapiga kazi ya Watanzania watano na hadi mrekebishe hapo, bado mtaisoma namba nyuma yetu tena kwa muda mrefu saaaana.
Ushaanza kuleta fyoko fyoko eeh! Nani kasema wanaogopewa?Na kwanini WaTz waogopa wakikuyu hivi??