Tanzania inatazamiwa kufikia uchumi wa kiwango cha kati mwaka wa 2025

Wanajifanya wanajua kumbe wanaungua na jua,manyang'au bwana,wapo so pathetic!!!
 
Kenya ilikua middle income from the independence?? Labda unamaanisha Nairobi ilikua middle income territory during independence ukisema Kenya nzima ni matusi sababu hata hivi huo umido income ni statistics tu reality still the massive amounts of people are under poverty line than of Tanzania.
Sawa na Kenya 2025 itakuwa wapi? Highly developed country au? Usisahau Kenya ni middle income country tangu siku inapewa Uhuru wake!
Mzungu alikabidhi nchi kwa Wakenya ikiwa ni middle income tayari!
 
In reality we are above Kenya in each and every single bit. These people are good on talking and arrogance but in reality they are empty as vacuum.
 
Mto upi huo, maana tayari tulishauvuka kitambo.
Bado saana ndugu yangu hujafika popote.ukitekeza kidogo tu unaweza kujikuta umerudi nyuma kiuchumi miaka 10.Over spending na ufisadi mwingi unafanya uchumi wa kenya usinyae tu.Badala ya kuelekeza pesa kwenye matatizo ya wananchi UK anajenga uzio!huo uzio wenyewe alshabab anakata na mkasi anateleza upande wa pili,hakuna askari wa kuweza kufika kilometa zote hizo.Hakuna uamuzi wa kipuuzi kufanywa na UK kama huo wa kujenga ukuta halafu mnahimiza utangamano,utangamano wa nini,wakati mmeweka uzio kwa jirani zenu.Baada ya kushindwa vita mmeona dawa ni kutapanya pesa za walipa kodi kwa kujenga uzio wa waya!
 
Mnachapa kazi? Kama ipi?
Ukahaba?
Ukabila?
Au nn?
Funga bakuli lako hpa!! Tunajua km Kenya mnabebwa still miaka ya nyuma hko, na kinachowabeba n climate conditions ya Nairobi ipo vzuri kwa wazungu na hii ndyo sabab hsa ya kupendwa hpo na hii ilichochea ukuaji wa mji na istoshe asilimia kubwa ya makampuni makubwa dunian yna headquarter Kenya sabab Kna wazungu weng ambao wna hela ila nyinyi MAFUKARA km cc, na English kushamili ndyo knawasaidia na hii kwsababu Nyerere hakutaka tuwe watumwa wa rugha, na kwataarifa yko LAITI Tanzania 2ngekuwa 2natumia English, nyie wapuuzi mnge2sikia kwnye bomba
Sasa ufyate mdomo wko kujisifu kwmba ""eti 2napga sna kazi!!! " we mpuuzi eeeeh? Kna m2 mbishi na mjanja AFRICA HII KAMA MBONGO NA MNAIJERIA??
Cku nyngine usije ukaropoka upuuzi wko hpa!!


~Cmb
 
wale watanzania wa maana walienda wapi lakini............ I miss them days when debates were so heated you could spew some sweet because your opponent is equally or more versed in something you are forced to really work.....
watu walikua wanaongea facts, wanafanya utafiti, wanamake points kutumia logic..... siku hizi mazombie ya ccm ndo yamejaa tu, mijitu haijielewi mwanzo wala mwisho.... kwao tanzania ni taifa tukufu, halina kasoro wala doa, mataifa mengine yote yanakaroso..
 
Hahahaaha. Baada ya kupigwa chini Amina mnakuja kujifariji sio? Subiri kunauzi tunauleta kuchambua huu uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…