Tanzania inauwezo wa kuzalisha megawatts 100,000 na zaidi za umeme

Tanzanians

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
265
Reaction score
385
Tanzania inauwezo wa kuzalisha umeme wa megawatts zaidi ya 100,000 hii inatokana na vyanzo vya umeme vilivyopo kama vifuatavyo
  • Uwepo wa gesi asilia
  • Uwepo wa makaa ya mate
  • Uwepo wa upepo singida na same
  • Uwepo wa jua (solar power)
Hivyo vyanzo vinne vinauwezo wa kuzalisha megawatts zaidi ya laki 1 kama nia na dhamira itakuwepo

Moja ya vitu inavyorudisha nyuma jitihada za maendeleo Tanzana ni kutokuwepo kwa megawatts za kutosha nchini

Ni aibu kubwa sana eti tuna megawatts ambazo hazidi 4000 za umeme ni jambo la ajabu sana kwa jasho na damu Tanzania inatakiwa iweze kuzalisha umeme mwingi hakuna excuse

(X au twitter tunatumia username made in tz_ au made in Tanzania project)

Karibuni
 
-1800561190.jpg
 
Tukiezeka nyumba kwa wingi wetu kwa solar na kwa mkopo nafuu wa muda mrefu,tunaweza kuzalisha zaidi ya nusu ya umeme tunazalisha sasa.
Dunia inaingia umeme wa uhakika sio mara nguzo imeanguka au transformer imeungua,solar ndio mpango mzima kwa kutumia vizuri jua letu.
 
Inawezekana kuzalisha hata Megawati 200,000 au hata 500,000 au hata ukipenda 10,000,000

Kwahiyo kujadili uwezekano ni jambo rahisi sana, kwa maana hiyo hakina msingi wowote kuongelea uwezekano.

Reality ndo suala la msingi kujadili, ikiwa itakuhitaji investment ya kiasi gani kujeuza potential kuwa reality, hapo ndo kujapotenganisha nchi masikini na tajiri, na kwanini itawezekana China na ishindikane Tanzania
 
Tanzania inauwezo wa kuzalisha umeme wa megawatts zaidi ya 100,000 hii inatokana na vyanzo vya umeme vilivyopo kama vifuatavyo
  • Uwepo wa gesi asilia
  • Uwepo wa makaa ya mate
  • Uwepo wa upepo singida na same
  • Uwepo wa jua (solar power)
Hivyo vyanzo vinne vinauwezo wa kuzalisha megawatts zaidi ya laki 1 kama nia na dhamira itakuwepo

Moja ya vitu inavyorudisha nyuma jitihada za maendeleo Tanzana ni kutokuwepo kwa megawatts za kutosha nchini

Ni aibu kubwa sana eti tuna megawatts ambazo hazidi 4000 za umeme ni jambo la ajabu sana kwa jasho na damu Tanzania inatakiwa iweze kuzalisha umeme mwingi hakuna excuse

(X au twitter tunatumia username made in tz_ au made in Tanzania project)

Karibuni
 
Inawezekana kuzalisha hata Megawati 200,000 au hata 500,000 au hata ukipenda 10,000,000

Kwahiyo kujadili uwezekano ni jambo rahisi sana, kwa maana hiyo hakina msingi wowote kuongelea uwezekano.

Reality ndo suala la msingi kujadili, ikiwa itakuhitaji investment ya kiasi gani kujeuza potential kuwa reality, hapo ndo kujapotenganisha nchi masikini na tajiri, na kwanini itawezekana China na ishindikane Tanzania
Hatuna viongozi wapambanaji asilimia kubwa ya viongozi wapo kwenye comfort zone
 
Mpaka sasa hivi sijajua serikali yetu ina mikakati gani kwenye sula zima la green energy revolution, maana hii ni global movement ambapo mataifa mengi duniani yamewekeza na yako na mpango wa kuanza kutumia clean ernergy isiyokuwa na carbon emission kabisa ifikapo 2030, tena gharama zake za uendeshaji ni nafuu sana na hata vyanzo vyake ni vya uhakika maana ni upepo na thermal energy.
 
Mikakati ipo kwenye karatasi
 
Tanzania inauwezo wa kuzalisha umeme wa megawatts zaidi ya 100,000 hii inatokana na vyanzo vya umeme vilivyopo kama vifuatavyo
  • Uwepo wa gesi asilia
  • Uwepo wa makaa ya mate
  • Uwepo wa upepo singida na same
  • Uwepo wa jua (solar power)
Hivyo vyanzo vinne vinauwezo wa kuzalisha megawatts zaidi ya laki 1 kama nia na dhamira itakuwepo

Moja ya vitu inavyorudisha nyuma jitihada za maendeleo Tanzana ni kutokuwepo kwa megawatts za kutosha nchini

Ni aibu kubwa sana eti tuna megawatts ambazo hazidi 4000 za umeme ni jambo la ajabu sana kwa jasho na damu Tanzania inatakiwa iweze kuzalisha umeme mwingi hakuna excuse

(X au twitter tunatumia username made in tz_ au made in Tanzania project)

Karibuni
Huo umeme MW 4000 ni MW 2000 tu ndio zinatumika zilizobakia zipo tu zimekaa unataka MW 100,000 uzifanyie nini?
 
Mpaka sasa hivi sijajua serikali yetu ina mikakati gani kwenye sula zima la green energy revolution, maana hii ni global movement ambapo mataifa mengi duniani yamewekeza na yako na mpango wa kuanza kutumia clean ernergy isiyokuwa na carbon emission kabisa ifikapo 2030, tena gharama zake za uendeshaji ni nafuu sana na hata vyanzo vyake ni vya uhakika maana ni upepo na thermal energy.
Ni global movement kwa wenye hela, ingia humo uone kama utatoboa. UNAFKIRI Dangote kaja anataka Makaa ya mawe alikua mjinga?
 
M
Tanzania inauwezo wa kuzalisha umeme wa megawatts zaidi ya 100,000 hii inatokana na vyanzo vya umeme vilivyopo kama vifuatavyo
  • Uwepo wa gesi asilia
  • Uwepo wa makaa ya mate
  • Uwepo wa upepo singida na same
  • Uwepo wa jua (solar power)
Hivyo vyanzo vinne vinauwezo wa kuzalisha megawatts zaidi ya laki 1 kama nia na dhamira itakuwepo

Moja ya vitu inavyorudisha nyuma jitihada za maendeleo Tanzana ni kutokuwepo kwa megawatts za kutosha nchini

Ni aibu kubwa sana eti tuna megawatts ambazo hazidi 4000 za umeme ni jambo la ajabu sana kwa jasho na damu Tanzania inatakiwa iweze kuzalisha umeme mwingi hakuna excuse

(X au twitter tunatumia username made in tz_ au made in Tanzania project)

Karibuni
Megawatt zikiwepo za kutosha utaambiwa mgao unasababishwa na uchakavu wa miundombinu ya kusafirishia Umeme 🙄 !
Marop alishasemaga enzi zile !
 
Back
Top Bottom