REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Kuna watu fulani walikuwa wakisema ushiriki wa Tanzania kibiashara katika nchi za SADC ni bure na wala hainufaiki chochote kabisa, bila kupoteza wakati habari hii iwafikie wote waliokuwa hawajui ni kwa namna gani Tanzania imeteka biashara kuanzia ya chakula na mazao mpaka kwenye madawa vifaa tiba na technologies
Kuhusu ndege yetu kule South, pamoja na Tanzania kupeleka jopo zito la mawakili wetu wabobevu lakini South Africa nayo ilituandalia mawakili highly ranked ones kututetea ni kwamba time yoyote ndege wetu anarudi mawinguni baada ya shauri kutajwa kortini