Tanzania inavyoliteka soko la SADC

Tanzania inavyoliteka soko la SADC

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Kuna watu fulani walikuwa wakisema ushiriki wa Tanzania kibiashara katika nchi za SADC ni bure na wala hainufaiki chochote kabisa, bila kupoteza wakati habari hii iwafikie wote waliokuwa hawajui ni kwa namna gani Tanzania imeteka biashara kuanzia ya chakula na mazao mpaka kwenye madawa vifaa tiba na technologies

Kuhusu ndege yetu kule South, pamoja na Tanzania kupeleka jopo zito la mawakili wetu wabobevu lakini South Africa nayo ilituandalia mawakili highly ranked ones kututetea ni kwamba time yoyote ndege wetu anarudi mawinguni baada ya shauri kutajwa kortini
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] safi sana.
 
Jamaa wa failed State wakionaga vitu kama hivi chuki na wivu vinawafura balaa [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna watu fulani walikuwa wakisema ushiriki wa Tanzania kibiashara katika nchi za SADC ni bure na wala hainufaiki chochote kabisa, bila kupoteza wakati habari hii iwafikie wote waliokuwa hawajui ni kwa namna gani Tanzania imeteka biashara kuanzia ya chakula na mazao mpaka kwenye madawa vifaa tiba na technologies

Kuhusu ndege yetu kule South, pamoja na Tanzania kupeleka jopo zito la mawakili wetu wabobevu lakini South Africa nayo ilituandalia mawakili highly ranked ones kututetea ni kwamba time yoyote ndege wetu anarudi mawinguni baada ya shauri kutajwa kortini

Wacha ujinga wewe ,Zimbabwe na South Africa ndio wameteka soko la SADC Nyie tu ni kukula mabaki mezani.
Oh and one more thing, suluhisho la kutekwa ndege ni kulipa deni sio shauri kutajwa kortini.
 
Tulijua tu mtakuja [emoji23][emoji23][emoji23]
Soma comment yangu ya kwanza,
Eti ndege imetekwa.
Wacha ujinga wewe ,Zimbabwe na South Africa ndio wameteka soko la SADC Nyie tu ni kukula mabaki mezani.
Oh and one more thing, suluhisho la kutekwa ndege ni kulipa deni sio shauri kutajwa kortini.
 
Tycoon Humphrey Kariuki’s Great Lakes Africa Energy (GLAE) has entered an agreement with the Mozambique government to generate electricity using natural gas for domestic use at a cost of Sh40 billion ($400 million).
 
A Kenyan ICT firm has won a KES 464.8 million (US$5.5 million) tender to upgrade ICT infrastructure systems for the Zambian power utility company ZESCO
 
Kenya Re is the oldest reinsurer in Eastern and Central Africa and serves over 265 insurances companies in 62 countries across Africa, the Middle Eastand Asia with over 50 percent of its revenue being generated from foreign markets.The firm provides reinsurance products to both life and general insurance.Kenya Re is listed on the Nairobi Securities Exchange.
Haya Andika basi kuhusu Azam group of Companies ambaye usipomuangalia kwa TV utamla kwa Meza au Utamnywa kwa Glass in all sub Sahara Africa just from Tanzania
 
Tycoon Humphrey Kariuki’s Great Lakes Africa Energy (GLAE) has entered an agreement with the Mozambique government to generate electricity using natural gas for domestic use at a cost of Sh40 billion ($400 million).
U mean this
 
Nitawaambia Mara ngapi kuwa Tz ndio dumping ground ya Bidhaa za SADC(South Africa). What does Tz produce and export apart from meagre food?
 
Back
Top Bottom