Tanzania inaweza kunyimwa mikopo kwa sababu ya kukamatwa kwa Dkt. Slaa na wenzake

Mkuu kuna mijitu ni ya ajabu sana!! Wanafikiri watz ni wajingawajinga
 
Mkuu kuna mijitu ni ya ajabu sana!! Wanafikiri watz ni wajingawajinga
UZALENDO sio kukaa KIMYA.
Bandari zinatolewa bure bila muda wa Ukomo bado mnasherehekea.

Mmevimbiwa kiskili ninyi?
Sio bure!

Mna Nchi nyingine zaidi ya hii ambayo Mwarabu anakabidhiwa Lango kuu la uchumi wa Nchi upande wa bahari?

Hatima ya WATOTO WETU itakuwaje ?
ACHENI upuuzi wa kutetea Ufisadi.
 
Harafu Hawa Watu wanaenda misikitini na makanisani Lakini Ni Full uongo..Dini Zetu Ni upuuzi tuuu.
 
Warioba yupo HURU
Shivji yupo HURU
Tibaijuka yupo HURU
Lissu yupo HURU
Mbowe yupo HURU
NA WENGINE WENGI TU,
SWALI JE?,
-NI KWANINI HAO HAPO PEKEE WANASHIKILIWA?
Tusijitoe ubongo tukajaza kamasi ....
Acha ujinga dogo. 98% ya watanganyika tumeukataa huo mkataba wa kinyonyaji. Hao waliotekwa na kupewa kesi za magumashi ndio walikuwa front line wakiwapumulia kila dk ndio mkajidangayan kuwa mkiwashugulikia wao mnaweza mkauzima huu mtanange. Mmejidanganya sana na hicho kitendo cha kipumbavu mlichokifanya ndio mmechochea kuni kwenye
 
Upuuzi,aliyekudanganya ni nani? Kwani hujui kwamba Kuna vyanzo vingi vya kupata mikopo?

Mwisho beberu anatumikia maslahi hatumikii wapuuzi wachache kama hao uliowataja hapo Juu.
 
98%,Takwimu hii umeipata wapi?,umepita kwa watumia bandari kariakoo ukapata ukweli juu shida za hapo bandarini,acha kufuata mkumbo Dogo!
 
Hayo yametolewa ufafanuzi na wabobezi wa sheria zaidi ya hao kina tobo slaa waliowashikilia akili ila hamtaki kuelewa kwa vile mmeamua kuwa hivyo. Imeuzwa sh ngapi hamjibu!

Tukiacha hilo hivyo vizazi hukuvikumbuka wakati Waingereza wanapewa madini yooooooote na wachina wanapewa gesi.....vitu vinavyokwisha tofauti na bamdari ambayo itaendelea kuwepo tu. Kunani?!!!!! Tunaendelea kuelewa sasa......
 
Nadhani umemsikia slaa alichokitamka,tufunge mabishano!
 
Inyimwe kabisa mpaka pale tutakapo pata Akili ya kujiongoza wenyewe na kuwa independent and self-sufficient.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Inyimwe kabisa mpaka pale tutakapo pata Akili ya kujiongoza wenyewe na kuwa independent and self-sufficient.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
Haitaweza kunyimwa mikopo hata kidogo, karibuni sana amnesty Intl,muje kuhakiki,tutakupeni kila aina ya ushirikiano pia msikilize kauli tata!,na vyote ili mjiridhishe!
 
98%,Takwimu hii umeipata wapi?,umepita kwa watumia bandari kariakoo ukapata ukweli juu shida za hapo bandarini,acha kufuata mkumbo Dogo!
Afadhali tuendelee kupata shida kuliko kusaini mkataba wa kijinga kama huo. Kidogo tukipatacho kina naafuu kuliko kuigawa mali yetu bure. Dogo hacha Upumbafu
 
Inyimwe kabisa mpaka pale tutakapo pata Akili ya kujiongoza wenyewe na kuwa independent and self-sufficient.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
Nyerere alikataa madini yasichimbwe mpaka watanzania wananchi wasome na wapate Akili ya kujua thamani ya hayo madini lakini badala yake hao waliokuwa wanasubiriwa wasome kwanza wakaja kuyagawa madini kwa Nchi kupewa asilimia chache kabisa !! 3% 🙄
 
Upumbqvu wa hali ya juu.

Kama kweli ni wahaini, mnangoja nini kuwafikisha mahakamani? Si mna ushshidi na vithibitisho vyote? Binadamu unapoingiwa na shetani na kutenda na kufurahia matendo ya shetani kama unavyofanya.

Tanzania inadumaa, kwa kiasi kikubwa kutokana na waliopewa dhamana kukosa upeo na kubakia kuhangaika na kutengeneza mambo ya kijinga.
 
Huo mkataba sio wa kijinga,ispokuwa au tatizo ni nchi ina wajinga wengi kupitiliza!.
Wa kijinga, utawapaje bandari zetu zote!?? Unawezaje kusaini mkataba unaosema hata kitoee nini huwezi kujitoa? Unawezaje kusaini mkataba ambo unakupa limit ya kufanya shughuli za kimaendeo ktk bandari zako mpaka uwaobe wao ruksa?
 
Warioba yupo HURU
Shivji yupo HURU
Tibaijuka yupo HURU
Lissu yupo HURU
Mbowe yupo HURU
NA WENGINE WENGI TU,
SWALI JE?,
-NI KWANINI HAO HAPO PEKEE WANASHIKILIWA?
Tusijitoe ubongo tukajaza kamasi ....
hivi kwa utimamu wako, slaa na mwabukusi wapindue nchi/raisi!!? ni mwehu pekee ndo anaweza kuamini!! Mali, Niger, b. Faso , guinea ni jeshi ndilo lilifanya mapinduzi, na jeshi ndo linauwezo huo , sio raia , raia wanaweza kumtoa rais madarakani kupitia box la Kura. Otherwise Kama Bibi anaogopa kumalizwa nguvu uchaguzi ujao hapo nitakuelewa, na Kama ni hivyo ajipange kwa hoja sio kutumia nguvu za dola.
 
Dr salimin aliwah kusema.chezea ndevu usichezee dola. Dola ni kitu complex sana na unaonesha hujui mifumo inavyofanya kaz. Chezea ndevu sichezee dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…