Tanzania inaweza kunyimwa mikopo kwa sababu ya kukamatwa kwa Dkt. Slaa na wenzake

Tanzania inaweza kunyimwa mikopo kwa sababu ya kukamatwa kwa Dkt. Slaa na wenzake

Nani kakudanganya kwamba Rais Samia hana Mbinu mbadala za kukusanya mapato.

Slaa ni nani hadi asababishe nchi kukosa misaada na mikopo wakati amefanya makosa ambayo ni kinyume na sheria zetu
 
Nani kakudanganya kwamba Rais Samia hana Mbinu mbadala za kukusanya mapato.

Slaa ni nani hadi asababishe nchi kukosa misaada na mikopo wakati amefanya makosa ambayo ni kinyume na sheria zetu
Kwanini anabakia kuwang'ang'ania dp world kana kwamba hao ndio ufumbuzi pekee kwenye kujenga uchumi wa nchi.?

Kwanini nguvu kubwa unatumika mpaka kukamata watu walio kinyume na uwekezaji wa hasara Kama huo???

FEDHA nyingi zinatumika kwa suala moja TU la dp world ili kulazimishia lipite?
Mnawatisha watu na kuwapa kesi za uhaini kwa ajili ya dp world tu.

Kama ana njia mbadala za kujenga uchumi azitumie hizo aachane na DP WORLD maana Ni jamga kwa TAIFA LETU.
 
Kwani wewe akili huna hadi ukurupuke kufanya fujo kwa kauli ya Mdude?
Vichwa panzi waandamana kichwa kichwa,kwani unadhani vyama Vya siasa havina mazumbukuku yao au mamgambo ya kuyatanguliza mbele !
 
Haitakuja kutokea kama Tanzania tusikope
Akili hizi ni za matango mwitu kabisa.
Nani amewajaza upupu huu kwa kiwango Cha juu namna hii.
Hakuna Mtanzania anayeendesha maisha yake bila kukopa hata akachanua?

Kama mmeaminishwa hatuwezi kuishi bila ya kukopa ``Kumbe Ni suala kuaminishwa tu"

Ninyi hao hao akitokea Kiongozi mwenye kusema Tunaweza bila kukopa ``WOOTE MTAANZA KUIMBA KIITIKIO HICHO TUNAWEZA BILA MIKOPO"
 
Kwa mtindo huu wa kamata weka ndani bambikiza kesi, mama samia ataliingiza taifa kwenye giza la kiuchumi ukizingatia yeye hana mbinu mbadala za kuinua uchumi wa nchi wazo kuu kwake ni kukopo tu kisha pigs panga kidogo aweke kwenye mfumo wake iliyotoboka usio na manufaa kwa tanzania yetu.

Kila kukicha dila inapanda na shs yetu inapiromoka. Na bado hekima imekosekana kabisa kwa hili suala la bandari zetu. Mmebakia kung'ang'ania tu Waarabu wa Dubai na DP world yao.

Dunia sasa ni kijiji utakwepa wapi kulaumiwa wakati ukweli uko wazi, unawashika hao alina mwabukusi, mdude, madeleka na dr slaa kwa lipi yaani. Kupinduluwa? Au mnataka jeshi liiingilie kati ili mjue kupinduluwa kukoje.

Tanzania haiwezi kujificha ili habari zake zisijulikane kila kitu kiko wazi kelele njema za kudai bandari zetu zisitolewe bure zimefika. Utanyimwa mikopo na waarabu watakuacha tu, maana huu moto usipouangalia utakuwakia popote ulipo mpaka kwenye miguu, kitandani, bafuni hata kwenye vikao vyote hata vile vya siri.

Waachie hao bila kuchelewa na wasidhurie wala adiwrpo wa kupoteza maisha yso. Zaidi ya hapo wengi wataamimini wewe ndio ulikuwa unamshauri vibaya Mzee Magu. Ukuacha kuitwa jina zuri la heshima maadamu presedent ukaanza kuitwa dikteta hapo itakuwa imekula kwako.

Nchi hii ina rasilimali nyingi sana inakuwaje uchumi uanfukie mikononi mwako? Unatumiwa muda mwingi kuwakabili wanakukosoa badala ya kujijenga nchi yetu.

Usije ukasema hatujawahi kukuambia:

Cheo ni dhamana, hasa hiki ulichokipata kwa kudra za mwenyezi Mungu. Penda watu wako unawaongoza,

Tanzania bado ina umasikini mwingi unaosababishwa na ninyi viongozi wachumia tumbo zenu.Hakuna mikakati ya kuondoa umasikini ila mna mipango na mikakati ya kuongeza masikini na wajinga ili muendelee kutawala.

Endeleeni kuliamsha, bado kidogo sana Watanzania wataamka usingizini wakiingia baranarani kuandamana,

Wembe mnaoulilia utaupata na utawakata wenyewe.

Jenga uchumi wa nchi yetu achana na siasa za kutesa watanzania kwa mambo halali na sahihi na ya kweli wanayoyadai.

View attachment 2720405View attachment 2720406View attachment 2720407
Kama Kuna watu walipigwa kesi za uhaini na mengine mengi na mikopo ikapatikana itakuwa hili la slaa? Upo serious kabisa, au hukuwa nchini awamu iliyopita?
 
Kama Kuna watu walipigwa kesi za uhaini na mengine mengi na mikopo ikapatikana itakuwa hili la slaa? Upo serious kabisa, au hukuwa nchini awamu iliyopita?
Mwambieni Aache kutegemea MIKOPO ili kuendesha Nchi kwenye ufanisi.
Badala ya kutafuta namna gani atapunguza Deni la TAIFA,yeye ndio anakomaa kukabidhi Bandari kwa Waarabu.

Dhahabu,Almasi na Tanzanite,na Uraniumu na madini mengine.Mlima Kilimanjaro,mbuga za wanyama ikiwemo na BANDARI ya DSM.Hizi ni Baadhi ya RASILIMALI kubwa tulizonanzo.

Kiongozi mwenye dhamira Safi na Nia Njema ya kujenga TAIFA kwa manufaa ya WANANCHI na sio kujinufaisha yeye ANAWEZA KUFANYA MAKUBWA SANAKWA USTAWI WA NCHI YETU.


Awe makini Moto umekwisha kuwashwa haiwezi kuuzimika mpaka abadili maamuzi na kuachana na mkoloni mpya DP WORLD.
 
Back
Top Bottom