Tanzania inaweza kunyimwa mikopo kwa sababu ya kukamatwa kwa Dkt. Slaa na wenzake

Dr salimin aliwah kusema.chezea ndevu usichezee dola. Dola ni kitu complex sana na unaonesha hujui mifumo inavyofanya kaz. Chezea ndevu sichezee dola
Kwa hiyo wevi wakitumia dola kupora rasilimali za nchi, wasipingwe, wasikataliwe? Ujinga mtupu.
 
Hivi CCM mnaweka watu ndani kwa kuwa wanachambua mkataba OVU kweli?
Mnajua mnafanya OUVU usio na kipimo? Madhara ya dhambi hii mnaijua ?
Ole wenu kwa OUVU huu na watoto wenu kwani upanga wa Mwenyezi Mungu upo juu yenu!
 
Dr salimin aliwah kusema.chezea ndevu usichezee dola. Dola ni kitu complex sana na unaonesha hujui mifumo inavyofanya kaz. Chezea ndevu sichezee dola
Huyu Salmini yuko wapi? Angejaaliwa kuja duniani leo hii angefanya UNGAMO kubwa sana!
Anyway, Ungekaa kimya kuficha upumbavu ingesaidia!
 
Unawapeleka lini mahakamani ili wahukumiwe kunyongwa?
 
Pro~Chadema bana mara hawataki mikopo leo tena mnataka mikopo kwa hiyo mnataka serikali iendelee kupewa mikopo kina Slaa waachiwe?
 
Unawapeleka lini mahakamani ili wahukumiwe kunyongwa?
Tanzania haina sheria ya kunyonga,hawa watakuwa wamechanganyikiwa tu,mahakama itakuwa na maamuzi sahihi nao, binafsi Mimi kama Mimi crocodiletooth, ningewasweka Ndani kwa lengo la kuwafundisha namna NZURI ya kutumia ndimi zetu kwa usahihi,😀😀😀hasa unapokuwa unautaarifu umma jambo Fulani.
 

Wewe hata katika familia yako akili yako yote ya maisha ni mikopo? Basi ni hatari sana! Endekea kulisha familia yako kwa mikopo ambayo mwisho wa siku itakuongezea umaskini wa kutupwa! Nenda kalime!
 
Madini ya Tanzanite yana patikana Tanzania pekee, lakini anaye ongoza kwa kuuza Tanzanite Worldwide ni India.

Kweli tuna laana..
 
Upuuzi,aliyekudanganya ni nani? Kwani hujui kwamba Kuna vyanzo vingi vya kupata mikopo?

Mwisho beberu anatumikia maslahi hatumikii wapuuzi wachache kama hao uliowataja hapo Juu.
Unatakiwa uwe Mpumbavu wa kiwango Cha juu Sana ili usikubaliane na ukweli kwamba BANDARI ZETU zinatolewa bure kwa Waarabu wa dp world.

Na wanaonufaika Ni team ya watu wachache sana,MAMA SAMIA NA WENZAKE.

Ni TAHIRA tu ndio anaweza kunyamazia uovu na uozo huu wa Serikali kuingia mkataba kinyamela na DP WORLD ya DUBAI.
 
Inyimwe kabisa mpaka pale tutakapo pata Akili ya kujiongoza wenyewe na kuwa independent and self-sufficient.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
Hakuna laana SISI kuzaliwa kuwa Waafrika ama WATANZANIA laana inaletwa na mijizi na milafi isiyotosheka na mishahara yao.
 
Ulishawahi kuona wapi mhaini akapewa dhamana! Kweli uko serious ndg
 
Wewe ndio mpumbavu,kama zimetolewa Bure Kwa hiyo Serikali itakuwa haikusanyi Kodi badala yake anakusanya DP World si ndio?

Mpumbavu kama wewe ndio unaweza amini hivyo
Wewe Ni mwerevu mlikataa kwa kusema Ni makubaliano na sio mkataba.

Je! Sasa makubaliano yamegeuka na kuwa mkataba ili mkusanye Kodi ninyi???
AIBU NA IKUPATE KWA UNAFIKI NA HILA ULIZONAZO JUU YA NCHI YETU.

Unapigania Tumbo lako TU WEWE.

Akili zako ziko timau sio za kupandikizwa kwa semina na vikao vya Siri vyenye vibahasha vya takirima.
 
Inawezekana ulikuwa na point yenye maana lkn umeandika kwa hasira sana hadi ukapoteza mwelekeo.
 
Kwani wewe akili huna hadi ukurupuke kufanya fujo kwa kauli ya Mdude?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…