Tanzania inaweza kunyimwa mikopo kwa sababu ya kukamatwa kwa Dkt. Slaa na wenzake

Nani kakudanganya kwamba Rais Samia hana Mbinu mbadala za kukusanya mapato.

Slaa ni nani hadi asababishe nchi kukosa misaada na mikopo wakati amefanya makosa ambayo ni kinyume na sheria zetu
 
Nani kakudanganya kwamba Rais Samia hana Mbinu mbadala za kukusanya mapato.

Slaa ni nani hadi asababishe nchi kukosa misaada na mikopo wakati amefanya makosa ambayo ni kinyume na sheria zetu
Kwanini anabakia kuwang'ang'ania dp world kana kwamba hao ndio ufumbuzi pekee kwenye kujenga uchumi wa nchi.?

Kwanini nguvu kubwa unatumika mpaka kukamata watu walio kinyume na uwekezaji wa hasara Kama huo???

FEDHA nyingi zinatumika kwa suala moja TU la dp world ili kulazimishia lipite?
Mnawatisha watu na kuwapa kesi za uhaini kwa ajili ya dp world tu.

Kama ana njia mbadala za kujenga uchumi azitumie hizo aachane na DP WORLD maana Ni jamga kwa TAIFA LETU.
 
Kwani wewe akili huna hadi ukurupuke kufanya fujo kwa kauli ya Mdude?
Vichwa panzi waandamana kichwa kichwa,kwani unadhani vyama Vya siasa havina mazumbukuku yao au mamgambo ya kuyatanguliza mbele !
 
Haitakuja kutokea kama Tanzania tusikope
Akili hizi ni za matango mwitu kabisa.
Nani amewajaza upupu huu kwa kiwango Cha juu namna hii.
Hakuna Mtanzania anayeendesha maisha yake bila kukopa hata akachanua?

Kama mmeaminishwa hatuwezi kuishi bila ya kukopa ``Kumbe Ni suala kuaminishwa tu"

Ninyi hao hao akitokea Kiongozi mwenye kusema Tunaweza bila kukopa ``WOOTE MTAANZA KUIMBA KIITIKIO HICHO TUNAWEZA BILA MIKOPO"
 
Kama Kuna watu walipigwa kesi za uhaini na mengine mengi na mikopo ikapatikana itakuwa hili la slaa? Upo serious kabisa, au hukuwa nchini awamu iliyopita?
 
Kama Kuna watu walipigwa kesi za uhaini na mengine mengi na mikopo ikapatikana itakuwa hili la slaa? Upo serious kabisa, au hukuwa nchini awamu iliyopita?
Mwambieni Aache kutegemea MIKOPO ili kuendesha Nchi kwenye ufanisi.
Badala ya kutafuta namna gani atapunguza Deni la TAIFA,yeye ndio anakomaa kukabidhi Bandari kwa Waarabu.

Dhahabu,Almasi na Tanzanite,na Uraniumu na madini mengine.Mlima Kilimanjaro,mbuga za wanyama ikiwemo na BANDARI ya DSM.Hizi ni Baadhi ya RASILIMALI kubwa tulizonanzo.

Kiongozi mwenye dhamira Safi na Nia Njema ya kujenga TAIFA kwa manufaa ya WANANCHI na sio kujinufaisha yeye ANAWEZA KUFANYA MAKUBWA SANAKWA USTAWI WA NCHI YETU.


Awe makini Moto umekwisha kuwashwa haiwezi kuuzimika mpaka abadili maamuzi na kuachana na mkoloni mpya DP WORLD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…