Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Wababodi ktk pitapita zangu ktk wikipedia na page nyingine nimegundua kuwa Tanzania inaweza kuwa Tan kutoka Tanganyika na ~zania kutoka Azania .Azania ya zamani ambayo ilibeba visiwa vingi na pwani ya africa mashariki.
Najaribu angalia mbunifu wa Neno Tanzania ambaye akina Ritz na wadini wengine ( wanaotafuta dini yao ktk kila kitu wa udi na uvumba ili wajiaminishe kuwa dini yao ni ya kweli) walifikia mpa sifa kupitia minajili ya dini anaweza kuwa hakufikiria km Zanzibar ni nchi at all. Inanishawishi kuona hili Tan+Azania.
Mwenye fikra mbadala ya uwezekano wa huyo jamaa mbunifu anayepewa sifa kufikiri kupata Tanzania toka ktk zanzibar na Tanganyika.Kwanini mimi naona chance ya kujenga jina Tanzania kwa fikra za tunachoaminishwa ni very narrow.Au inawezekana siye aliyebuni hilo jina,ila alikuwa ktk List ya waliolipenda.