TAN = Tanganyika
ZAN = Zanzibar
IA = SomalIA, AlgerIA, NamibIA, EthiopIA, NigerIA, LiberIA, ZambIA,
Tatizo lako hujui Uarabu ni nini wala Waarabu ni nani, na pia huelewi Uafrika ni nini na nani.
Nyinyi ndio wale mnaojazwa ujinga na mnaukubali bila hata ya kufikiri, hint; Jee unajuwa kuwa Waarabu wengi wako Afrika kuliko kwingine kokote duniani? Jee, unajuwa kuwa Waarabu hawakuja Afrika? Jee, unajuwa kuwa Zanzibar (land of the zenj) ilikuwa ni sehemu kubwa sana ya Afrika na makao yake makuu yalikuwa hapo Unguja?
Historia huijui au huitaki kuijuwa ni ile ile uliyojazwa nayo katika shule zile-zile (za Father Kit Cunningham) ndio zinakufanya usijielewe hata nafsi yako.
Kina nyinyi mimi huwaita "wabaguzi wa ujinga". Mmejazwa ujinga wa kujibaguwa na kila siku mnaimba kuwa wazungu wana "divide and rule" lakini hamjijui kuwa ndicho hichohicho mlichojazwa nacho. Akili zenu zimefungwa, macho yenu hayaoni, masikio hayasikii na midomo haisemi, nyoyo zimejaa maradhi na hamzidishiwi ila maradhi.
Unataka sema nini hata ktk red? That Matters,That is matter, au?Kwa kujibaraguza mpo juu...unapropose swali badala ya kuuliza?Unaniomba nijibunie swali wrong?RIP...
Na hata hiyo Tanganyika yenyewe ilikuwa part ya himaya ya Zanzibar, inaonekana haelewi historia huyo, anababia-babia tu.
"That is what it always matters!"
Sasa wewe unauwa au unafisha?
Kuuliza si ujinga kama unavyofikiri, kama jambo linakukwaza niulize the way you like na nipo kukujibu accordingly.
Mkuu wazo lako murua kwelikweli. Sisi watanganyika watoto wetu wanaijua tanzania tu. Halafu jina tanganyika hadi leo hatujui waingereza walilitoa wapi. Kwa hiyo wazenj wakikitoa basi sisi tuende jina tanzania kwa msingi huo uliopendekeza.... Safi sana mkuu.Wababodi ktk pitapita zangu ktk wikipedia na page nyingine nimegundua kuwa Tanzania inaweza kuwa Tan kutoka Tanganyika na ~zania kutoka Azania .Azania ya zamani ambayo ilibeba visiwa vingi na pwani ya africa mashariki.
Najaribu angalia mbunifu wa Neno Tanzania ambaye akina Ritz na wadini wengine ( wanaotafuta dini yao ktk kila kitu wa udi na uvumba ili wajiaminishe kuwa dini yao ni ya kweli) walifikia mpa sifa kupitia minajili ya dini anaweza kuwa hakufikiria km Zanzibar ni nchi at all. Inanishawishi kuona hili Tan+Azania.
Mwenye fikra mbadala ya uwezekano wa huyo jamaa mbunifu anayepewa sifa kufikiri kupata Tanzania toka ktk zanzibar na Tanganyika.Kwanini mimi naona chance ya kujenga jina Tanzania kwa fikra za tunachoaminishwa ni very narrow.Au inawezekana siye aliyebuni hilo jina,ila alikuwa ktk List ya waliolipenda.
Huyu jamaa anajifanya wamo lakini ni peupeeee!
Unaweza thibitishia jukwaa sielewi?Mwehu wewe kwa taarifa yako ni area ambayo nina extensive knowledge kuliko mlivyoweza ota na kufikiri.
Hiyo ndio hiding place ya waislam....siku zote wengine hawautambui uislam na maandiko ya kiislama na effect zake kwa waislam.
Acha wehu hembu andika unachotaka andika kipewe majibu na si kujificha kijinga hivyo kuwa sijui.Maccm nao wamekopa huo ujinga,yakikutana na CDM yanaishia kusema kuwa wengine hawajui,sijui hawana uzoefu,sijui wanatukana.Hembu acha uliberali na face reality.Otherwise mtakuwa miserable daima.
Waarabu hawakuja Africa?Nani kakuambia wewe utakuwa mwarabu,ndio waligundua ,janja ya kuwashika watumwa wao ktk imani na kuwaambia "Islam ni asili ya mwafrica". By the way,,, kilwa ilikuwa maarufu kabla ya uislam na ktk maandiko ya kala kabisa ya warumi ,na wagiriki yanaisema hivyo..na hiyo ndio iliyokuwa azania..kabla ya waarabu kuja iita zenj.
Nico sikiza. Historia ya dunia imejaa mataifa yamejifunza kutokana na makosa. Katika baadhi ya makosa ambayo sisi wananchi wa Tanganyika tunatakiwa kukubali kama makosa ni hili la Kuingia ubia na matapeli wanaitwa Zanzibar. Tapeli ni mtu anayejitajirisha kwa mali yako wewe kwa ulaghai. Tumewalea Wazanzibari kwa karibia miaka 50 sasa pasipo kupata kitu pale. Tumewalinda, tumewalisha, tumewatetea katika mengi huku chao kikiwa chao na chetu kikiwa chetu sote. Na hakuna hata kauli moja ya shukrani kutoka kwa hawa matapeli. Huu ni ujinga kwa upande wetu!
Tumesoma nini katika historia hii?
Nyerere alipata madaraka katika umri mdogo. Kijana akiwa kwenye umri wa miaka kati ya 21 hadi huko 38, 39 huwa umri ambao vijana wanakuwa idealistic sana. Nyerere alipata kazi kubwa mno kabla ya perfect maturity. Alikuwa bado yupo katika hii bracket ya binadamu idealistic and often unrealistic; ni umri wa kuamini unaweza fanya kitu hakiwezekani. Nyerere alibeba mawazo ya Pan Africanism kutoka African Student Unions vyuo vikuu vya Uingereza na kwingineko Ulaya akataka ku-implement yale mawazo kwa spidi ya radi. Mengine yalikuwa hayawezekani that quick.
Nadhani Karume alikuwa kavuka huu umri. Ndo maana pamoja na elimu yake ya vitabuni kuonekana ndogo, alikuwa na elimu dunia kubwa zaidi kuliko Nyerere. Binafsi naona Karume alimzidi ujanja Nyerere. Huu muungano ulijengwa katika mazingira ya Watanganyika kutapeliwa sana. Jomo Kenyatta alikuwa na Umri mkubwa zaidi kuliko Nyerere wakati hili hitaji la kuungana lilipoletwa. Kenyatta alikataa upuuzi huu. Nyerere angekuwa na umri wa miaka 50 wakati muungano huu unafanyika pengine angekataa, au hata angeelekeza serikali moja. Zanzibar walihitaji ulinzi wa karibu sana wakati ule kuliko sasa na hitaji hili lingewalazimisha kuboresha terms. Utaingiaje katika union ubaki na wimbo wako wa taifa, bendera yako ya taifa, cort of arms yako na watu wa upande mmoja wakose haki ya kumiliki ardhi upande wa pili? Huu kama si utapeli ni nini? Hitaji la ulinzi bado lipo kwa sasa pale Zannzibar, lakini mazingira yamebadilika watalindwa na EAC, watalindwa na AU, watalindwa kwa mtindo ambao tunamlinda Kabila sasa. We don't need Zanzibar.
Tumejifunza katika historia kwamba Tumewalinda watu wa Zanzibar, tumewalisha watu wa Zanzibar, Tumewapa hifadhi ya ardhi watu wa Zanzibar, tumewatetea kisiasa watu wa Zanzibar kwa karibu miaka hamsini pasipo shukrani kutoka kwao.
Nico. tenda wema nenda zako. Tanganyika ni jina zuri. Tanganyika ni nchi nzuri. Achana na Tanzania, achana na hawa matapeli wa kisiasa kwa amani.
Wabeeja sana ngosha!!!!! Tanganyika yangu iiiyoooo inarudi!
"tumewalinda" kwa adui yupi?
Mara baada ya mapinduzi ulinzi ulikuwa lazima kwa sababu adui alikuwa nani?. Au hujui historia ya mapinduzi?
Kwa nini usiweke 'i' hapo kwenye blue...Zomba? Lakini pia historia imeonesha visiwa vingi ndani ya bahari ya hindi vyenye mamlaka kamili vimekuwa unstable sana. Seychelles mapinduzi yamefanyika mara kibao. Hivi majuzi tumepeleka kombania kumrudisha kiongozi kwenye tuvisiwa fulani huko baharini.
Hivi...kama siyo Tanganyika kuwepo Zanzibar, ile siku Muunguja mmoja akiitwa Salmin Amour alipotamka kwamba Mpemba kuingia Ikulu ni sawa na Mbwa kuingia Msikitini msingechapana makonde kweli nyie? Halafu leo akili yako inakutuma kuuliza "tumewalinda kwa adui yupi?" Nikikwambia tumewalinda kwa adui wa hapohapo Zenji kama Salmin Amour vile...utaniambia nini? Nikikwambia tumewafanya mkaelewana pande mbili zisizoelewana, utaniambia nini? au unataka kuniambia Unguja na Pemba mumekuwa marafiiiiki sana tangu ile siku ya mapinduzi hadi hii leo?
Tunawapa Mamlaka kamili mnayotaka; Haina shida hiyo. Hata ingewezekana kesho tungepiga mdundiko tusherehekee kuondokana na kadhia hii inaitwa Zanzibar. Omba nisiwe katika nafasi ya kuamua la kufanya siku Unguja na Pemba mnaanza kuchapana makonde kwa sababu nina uhakika kabisa siku hiyo inakuja! Mafuta ni ya Pemba, si ya Unguja. Nitaziba masikio na macho Mtanganyika mie mchapane weeee mpaka akili zenu zifunguke. Nipo hapa nasubiri. Nasikilizia wale Mbwa wasiotakiwa msikitni watapoanza kuvuna mafuta yao wakatakiwa kuyagawa mafuta haya--kama mafuta yenye wapo anyway. Manake hata hilo nalo limekaa kama mtu anahesabu vifaranga na mayai bado hayajatotolea. Watu wa Zanzibar ni watu wa ajabu sana....
Soma kidogo historia, uielewe: Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru! | Zanzibar na Mapinduzi ya Afrabia
Bado hujajibu, adui alikuwa nani?
Alieyekimbilia Oman alikuwa rafiki?Soma kidogo historia, uielewe: Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru! | Zanzibar na Mapinduzi ya Afrabia Bado hujajibu, adui alikuwa nani?
Alieyekimbilia Oman alikuwa rafiki?
Hizo elimu za nyota(horoscope) zinawasumbua...bora mngesoma astronomy...nimekuambia thibitisha wapi sijui Arabism na Islamism unajifanya hujaelewa.Naona povu linakutoka.
Si unaona ulivyo mbumbumbu? unauingiza Uislaam kwenye Uarabu. Nilikwambia huujui Uarabu ni nini wala Uafrika ni nini.
Huijui Kilwa wala Azania, umejazwa ujinga wa ubaguzi, kiasi ukitwajwa Uarabu wewe tayari umeshauingiza Uislaam. Hujui kuwa Waarabu ndio walioupinga kwanza Uislaam. Nnna uhakika huna ilm hiyo.
Wewe mwehu sana unadhani kila mtu anamezeshwa?kumezeshwa mmezoea nyie ndio manakariri maandiko eti kuyahifadhi..ndio maana vita ya Badr iliwaacha na mistari pungufu...karne hii mnakarii na computers ,na vitabu vya kuhifadhi kila kitu.Bado mnajifanya kuwa hard disk.Kwa kukujuza tu, Uarabu haukuja Afrika, hivi unajuwa hata maana ya Afrika? naona u-finyu sana katika uelewa na unachokijuwa ni ule ubaguzi wa ujinga uliojazwa nao shule zile zile, unazijuwa zipi.
Kwa hiyo wakiwa wa Caravana ndio wana uhalali wa kukutawala na kukuuza?Halafu wapi nimeona sifa na kujazwa ujinga?Mna milions of ways z akuwafanya muwe watumwa.Waislam n autumwa ni damu damu...wana vitu vingi sana vya kuwazuia fikra zao,wana vitu vingi wamewekewa ili wasikombolewe.Wanaambiwa wengine wana hila,fitna,husda, na mengine,basi wakitoka nje wakikutana na kitu kimoja wanabaki si unaona.Mbaya hizo tuhuma ndizo zinawatafuna wao wenyewe kuliko.....Pata darsa dogo hapa:
Arab"iya" = Caravan, "Arab" peoples of the Caravan, ie wahamahamaji.
Africa = Afri"t", kaitafute maana ya Afrit ni nini utajuwa kwa nini unaitwa Mwafrika na kwa ujinga uliojazwa wewe unakubali mbiombio na kuona kuwa ni sifa nzuri. Laiti ungelijuwa.