Tanzania inawezekana kufunga ndoa mahakamani?

Eti wakuu hii kitu inawezekana kwa Tanzania?

Inaitwa bomani. Kenge wewe. Mahakamani sisi tunavunja tu baada ya kupima hoja.

Nenda kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya utapewa utaratibu wa kufungishwa ndoa. Ndani ya wiki tatu utakuwa mume na mke.
 
Kanisani, Msikitini, Kwa mkuu wa mkoa, au kwa wazee wa mila...

Mahakamani ni kwenda kutatua migogoro either kuwapatanisha au kuwaachanisha...
 
Inaitwa bomani. Kenge wewe. Mahakamani sisi tunavunja tu baada ya kupima hoja.

Nenda kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya utapewa utaratibu wa kufungishwa ndoa. Ndani ya wiki tatu utakuwa mume na mke.
Naona za mahakamani mnaenda siku hiyohiyo na kufungishwa siku hiyohiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…