Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Eti wakuu hii kitu inawezekana kwa Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa vyema. Ndoa ni mkataba na ndiyo maana unavunjwa na mahakama. Sasa iwaje tunauingia kwa mkuu wa wilaya?Huko ni talaka.,
Why unahitaji iwe huko?.
Sheria ya ndoa ipoIngekuwa vyema. Ndoa ni mkataba na ndiyo maana unavunjwa na mahakama. Sasa iwaje tunauingia kwa mkuu wa wilaya?
Eti wakuu hii kitu inawezekana kwa Tanzania?
Kwanini asifunge ndoa ya kimila tu?Kafunge tu kanisani,mkishindwana si mnaachana tu
Ha ha haa,tena?!Kwanini asifunge ndoa ya kimila tu?
Au anafikiri akifungia ndoa mahakamani ndiyo inakuwa imara zaidi ?
Watanzania millioni 7 wanaungojwa wa akili
Eti wakuu hii kitu inawezekana kwa Tanzania?
Naona za mahakamani mnaenda siku hiyohiyo na kufungishwa siku hiyohiyo.Inaitwa bomani. Kenge wewe. Mahakamani sisi tunavunja tu baada ya kupima hoja.
Nenda kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya utapewa utaratibu wa kufungishwa ndoa. Ndani ya wiki tatu utakuwa mume na mke.