Mwanakijiji, nitaendelea kubakia mwana ccm ila kuna wakati naona inabidi kusema yale yanayoumiza moyo kama nilichoona hapa. Kimeniumiza sana moyo kwa kweli.
Kuna wakati inabidi ubaradhuli wako uuweke pembeni. Watu wanataka kujadili mambo ya maana kuhusu hatima ya nchi yetu lakini wewe unaleta mambo yasiyo na kichwa wala miguu!! Mtu mzima hovyoooo! Kuna forum ya jokes nenda huko wala hakuana atakayekusumbua haya ukiandika upupu wa namna gani.
Angalia na hapa jinsi ya Albino wanavyouwawa Tanzania halafu Mkurugenzi wenu wa Ikulu anasema watu wasiandike magazetini wala kuongelea
KM nilichotaka kusema ni kwamba kuna wakati wa utani na wakati wa kujadili mambo muhimu kuhusu hatima ya nchi yetu. Masaka aliyoyaona katika hizi video yamemfumbua macho kuyajua yale ambayo wengi wetu tunayajua achilia mbali hata kama yanatokea Bilicana na sidhani kama hiyo video aliyoiona ingemgusa kiasi hicho kama ingekuwa imechukuliwa Bilicana na siyo uwanja wa fisi maana kuna tofauti kubwa sana katika mazingira ya uwanja wa fisi na ya Bilicana.
Kuhusu matusi, niwie radhi ni hizi frustration kuhusiana na nchi yetu ambazo zinaudhi na kusikitisha mno. Uzuri ni kwamba sikutumia yale ya nguoni maana hapa si mahali pake.
hamna neno nimekuelewa !
Sawa ni kweli kabisa kwamba mazingira ni tofauti sana tena sana kati ya billicanas na wanja la fisi ! Lakini hapa kinachomatter zaidi ni nini ? Mazingira ya wanja la fisi au vitendo vinavyofanyika pale ndio taabu ? Kwa ufahamu wangu ni both, mazingira na vitendo, na mazingira ya pale wanja la fisi ni sawa sawa tu na baadhi ya maeneo mengine, lakini kikubwa zaidi ni vitendo vinavyofanyika pale ambavyo pia vinafanyika billicanas ! Kwa kifupi nasema kwamba mazingira tofauti lakini the same sh*t happens in bills as well ! Iwapo tutabadirisha mazingira tofauti na kuwa safi na ya kuridhisha, na vitendo vikibaki vile vile then we will be doing nothing !!
..yaani wewe ni bora ukae kimya tu! maana unatia kichefuchefu hata Reglan IV haitafua dafu!!! haya twambie bwa'kubwa wewe, iweje usijue yanayojiri Uwanja wa Fisi miaka yooooooooooooote hii!!?? mie nimesikia story za uwanja wa fisi kwa mara ya kwanza nikiwa darasa la tano, mwaka 1988....na hiyo ni takribani miaka ishirini ilopita!!! je wewe unaishi darisalma ipi?? je wewe unaishi Tanzania ipi!?? au mwenzetu ulikuwa una-haibaneti kwenye polars huko na leo hii ndio umetuibukia?? au ulikuwa kwenye Moon, na leo ndio umelegea (umelejea)!!?? au ulikuwa kwenye coma na leo ndio umezinduka?? ulikuwa wapiiiiiiiii?? yaani huoni hata aibu kujishaua hapa, "ati habari hizi kwangu ni ngeni."!!!shame on you.
Masaka, todayz worst person in the world....
Na wewe nesi wa kiume hii kwoti ya Keith inaanza kuboa sasa....tafuta ingine basi...
..yaani wewe ni bora ukae kimya tu! maana unatia kichefuchefu hata Reglan IV haitafua dafu!!! haya twambie bwa'kubwa wewe, iweje usijue yanayojiri Uwanja wa Fisi miaka yooooooooooooote hii!!?? mie nimesikia story za uwanja wa fisi kwa mara ya kwanza nikiwa darasa la tano, mwaka 1988....na hiyo ni takribani miaka ishirini ilopita!!! je wewe unaishi darisalma ipi?? je wewe unaishi Tanzania ipi!?? au mwenzetu ulikuwa una-haibaneti kwenye polars huko na leo hii ndio umetuibukia?? au ulikuwa kwenye Moon, na leo ndio umelegea (umelejea)!!?? au ulikuwa kwenye coma na leo ndio umezinduka?? ulikuwa wapiiiiiiiii?? yaani huoni hata aibu kujishaua hapa, "ati habari hizi kwangu ni ngeni."!!!shame on you.
Masaka, todayz worst person in the world....
ume-miss point kama kawaida yako na wengine wengi hapa JF!! sitaki kujua kama umezaliwa Dar, sina haja ya kujua kama unaishi nje au ndani ya TZ......nilikuwa nakuweka kwenye spotlight kwamba unanuka u-elit au labda unajipakazia!!! it is almost impossible kutokusikia juu ya uwanja wa fisi kama umeishi Dar hata kama ni kwa mwaka tu......swali langu lilikuwa ni kivipi wewe huyajui haya siku zooote hizi??? umefanya hii kitu i-sound mpya kabisa, na hilo pia ni tatizo langu kwa upande mwingine!!! kama upo humble kihivyo na unajari hali za kina Eliza, basi ulitakiwa uyajue haya siku nyingi na sio leo tena kupitia youtube!! hiyo tu pekeyake inazihirisha ni jinsi gani wewe na mabwanyenye wenzako huko ndani ya SISIEMU mnavyoishi kwenye bubble (self imposed isolation, kadunia ka pekeyenu...hamjichanganyi kujua hasa ni yepi matatizo ya wananji)...hakuna kilichobadilika, na narudia tena kwamba Masaka, todayz worst person in the world.
Nyani Ngabu, shut up! giza limeshaingia...kakojoe ukalale!!.
...njoo nikukojolee basi.....bwahahahahaaaaaa
...maana na wewe ni miongoni mwa "JF Mtandao," hambishiwi wala kukosolewa.....
Mkombosi,Ceeque wewe ni m-zimbabwe?
Mi nilishasema kuna "JF Mtandao."
Haaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
that's all you got mamas boy!!? ngoja nikuache wasije na mie kunifungia bila maelezo ya maana...maana na wewe ni miongoni mwa "JF Mtandao," hambishiwi wala kukosolewa.....nyerereism at its best!! shame.
Ona sasa...umeshaanza mi-conspiracy theory.....kalale sasa