Tanzania inayotaka kujitegemea kiuchumi sasa inarudi zama za kutembeza bakuli ughaibuni

Huyo mwendazake wako ndani ya miaka mi5 aliongoza kibabe, pamoja alizuia hela za wafanyabiashara wakubwa na kwenda kuzijengea chato na kujitapa kua yeye nitajili na hana shida, mwisho wasiku anasema tunakopa na hatusemi tunakopa wapi eni la taifa limepaa kuliko vindi vipindi vyoote kuwahi kutoke.

Mwisho wasiku presha inapanda na kuitwa mwendazake.

Acha kuleta porojo mkuu.hali ilikua inaendea kubaya. Walionufaika na upuuz ule ni POLEPOLE NA KATIBU WAKE LABDA. Maana ndio walikua watetezi wakuu wa mwendazake.
[/QUOTE
]
tulipelekwA Utumwani

Waafrika tumerogana sisi wenyewe na kusababisha uchelewaji wa maendeleo!:-
1. Hatupendani
2. Tuna wivu wa sisi kwa sisi kwa maana hatupendi mtu atuzidi kimaendeleo, huzalisha chuki kwa wale wenye nacho badala ya kujiuliza amefanikiwaje huku hatua za kujiongeza kwa juhudi ya kutafuta tuweze kufikia kiwango cha walionacho.
3. Hatuna umoja na hapo tunazalisha udhaifu ambao hatuwezi kupata nguvu ya kuendelea.
4. Wakati wa utumwa watu hawakukamatwa kwa nguvu bali waliokuwa viongozi walituuza kwa kubadilishana na vitu mbalimbali vikiwemo shanga, vioo na takataka nyingine nyingi. Tungekuwa tunapendana tusingekubali hayo na kupigana kama wale wa Majimaji na akina mkwawa waliokataa kutawaliwa na wazungu!
Ili tujikwamue na utumwa wa kifikira, inatupasa tuanzishe mfumo wetu wa elimu ya tangu jadi kabla hawajaja wazungu kutupumbaza kwa kutumia dini ambayo wao wenyewe hawaizingatii kabisa na kuona kuwa inawapotezea wakati. Lakini wanatuhimiza sisi kuwa wafuasi waaminifu wa dini kupitia kwa wamissionary wa madhehebu yetu ya dini. Na kwa hapo ni kama tunazidi kupotea na kukosa mwelekeo.! Hebu fikiri, tumeaminishwa kuwa kuna Mungu mmoja tu, alafu kuna mtoto wake wa pekee ambaye ni Yesu. Nilichotegemea tungekuwa na kanisa moja dunia nzima bila kuwa na utitiri wa madhehebu yenye imani moja. Hapo nahisi hiyo ni mbinu ya wazungu ya kututawala ili waendelee kutuchuma. Kumbukeni usemi usemao "DIVIDE AND RULE" kwa kutugawanya huko inakuwa njia rahisi kwao kutawala mawazo yetu kupitia mgongo wa uchaMungu. Siku zote mwalimu anapaswa kuwa mfano mzuri kwa mwanafunzi ili mwishoni aje afaulu mafunzo kwa usahihi. Swali la kujiuliza hapa ni vipi wao kama walimu waliotuletea dini wanaiasi na kutuhimiza sisi wanafunzi bila ya wao kuwa mfano wa kuthamini walichotuletea! Huwa najiuliza kutokana na historia tuliyosoma wote, hizi dini kuu mbili ziliingia huku kwetu Afrika kuanzia mwaka 1500 na 1800. Swali najiuliza, je kabla hawajaleta hizo dini je wazazi wetu hawakuwa wanamwabudu Mungu?? Inapaswaa tujiulize mara mbili mbili juu ya hilo.
Jambo lingine ambalo tunapaswa kujua ni ule mfumo wa elimu walioileta hauna manufaa kwa mtu mweusi zaidi ya kumwandaa mtu mweusi kuwa mtumishi wao indirectly. Elimu tunayofundishwa ni ya kumwandaa mtu kukariri na kuishia kuwa na mafikra ya kuajiriwa. Elimu nzuri ni ile ya kumwandaa mtu awe great thinker mwenye uwezo wa kubuni na kuwa mvumbuzi wa vitu, badala ya kutegemea vilivyobuniwa na kuvumbuliwa na wengine. Tunathamini sana karatasi (vyeti na shahada mbali mbali) pale tuhitimupo.
Elimu hiyo ilibuniwa kutudumaza tusiwe wavumbuzi wa maendeleo. Kwa muda wote huo uliopita tumecheleweshwa sana na hawa wazungu wakitaka tuwaabudu wao kwa kile wanachokiita msaada kwetu wenye masharti ambayo wao hawako tayari kuyatekeleza.
Ndugu zangu waafrika wenzangu tuwe macho wakati umefika wa kufanya mapinduzi ya kifikira ili tujikomboe kutoka utumwa mamboleo wa kifikira na kiakili.
 
Dalili ya mvua ni mawingu, hali hii inatokana na matamshi na vision ya kiongozi aliyeko Madarakani.

Si kweli kwamba utaratibu wa uwekezaji nchini ni mbaya, nakataa hili kwa ushahidi kwa kupitia kauli ya mfanyabiashara maarufu hapa nchini Rostom Aziz aliyoitoa akiwa ziarani Kenya aliyeambatana na Rais Samia.

Alisema, mfano kuna kampuni 530 za Kenya zimewekeza nchini Tanzania,hebu lingania makampuni ya Tanzania nchini Kenya ,ambayo ni 30 tu, hivyo uwekezaji nchini kwetu ni rahisi kabisa, ispokuwa kuna machache ya kurekebisha kulingana na matakwa ya muda husika.

Hivyo sisi tumefungua fursa zaidi kuliko wenzetu, isipokuwa wenzetu wametugeuza sisi ndio raw materials producers wa viwanda vyao na wanahakikisha hatukui kwenye eneo la viwanda nchini. Hili Magufuli alilipinga kwa nguvu zote ndio maana akaja na sera ya viwanda.

Niseme tu hayati Magufuli alikuwa ni mtu ambaye Mara nyingi alifanya tafiti na kupata takwimu kabla ya Maamuzi magumu kutolewa, hii ilimfanya aheshimike sana duniani licha ya mahasimu wake kumshusha thamani.

Hayati Magufuli enzi ya utawala wake hakupenda kabisa ubabaishaji na hili lilimgharimu sana .ndicho kilichopelekea baadhi ya makampuni na wafanyabiashara matapeli kukimbia nchini, ambao Mama Samia kaenda kuwapigia Magoti.

Sasa naiona Tanzania inarudi ilipotoka, Tanzania inaenda kuwa nchi ya wachuuzi tena ,pamoja na raslimali lukuki ilizonazo,hii inaendana pia na kushuka kwa morali ya uwajibikaji wa baadhi ya viongozi wetu na kujiingiza kwenye rushwa.

Maneno aliyosema Rais Samia alipokutana na wafanyabiashara nchini Kenya ya kwamba anaenda kuifungua nchi. Je, ni lini nchi hii ilifunga mipaka yake?

Nafikiri angesema hakusanyi kodi tena wawekezaji ruksa kufanyabiashara nchini bila masharti tungrmuelewa na jambo hilo halipo duniani, kodi ndio msingi wa maendeleo, serikali kama haikusanyi kodi haina uhalali wa kutawala.

Mwisho kataja bandari ya Bagamoyo na eneo la viwanda, tusikubali uharaka haraka wake kusaini hii mikataba bila ya kujiridhisha, bunge lihakikishe mikataba hii haisainiwi gizani kama alivyofanya kwenye hili bomba la kuuza gasi nchini Kenya.

Mambo haya yalifanyika sana enzi za awamu ya nne, na yameligharimu sana taifa baada ya hayati Magufuli kutaka kuinasua nchi kwenye ujinga huu, naona Mama Samia anataka kupita kulekule kulipotugharimu. Vinginevyo nchi hii tunaenda kugawana mbao, Magufuli kaondoka kawatoa watanzania tongotongo machoni.
Nimesoma kidogo nimekifiwa huwezi kutengeneza taifa lakujitegenea kwa kufilisi au kuhujumu mali za wananchi wako na kutoajiri wafanyakazi wapya pia kuto ongeza mishahara watumishi wanakufa nakustafu lakini wewe hauajiri + vyeti feki namzu nguko utatoka wapi unatufilisi wavuvi kwa kisingizio cha uvuvi haram ilikuwatisha watu wakupe pesa kwanguvu baada yakuharibu mzunguko unabaki unavamia kila sehemu matokeo unasingizia watu madawa ya kulevya mara hoo uhujumu uchumi eti ndio vyanzo vya napato yakujitegemea ukimaliza hizo vuruguzako nawatu tubaki tunakuangalia wewe nchi itaendaje? Nadhani utatafuta soko laraia wako nje sasa au udhulumu nyumba zao ulipwe kila wiki kama kodi
Nb sijuwi huwa mnamasikio au ni matundu ya urembo mama kasema najuwa tutashuka kwa muda lakini baadae tutakaa sawa ukimwelewa vizuri anataka kuongeza kwanza mzunguko mzunguko ukikaa sawa tutakuwa vizuri ukitaka kujuwa magu hakuwa vizuri muangalie mstafu anasomba mchanga nakuvunja kokoto pesa yakustafu anaidai serekali nahajui lini atalipwa hayo ndio madhara yakuuwa mzunguko
 
mkuu Magufuli alidumaza sekta binafsi na uwekezaji nchini, kwa kodi kubwa na sera zisizotabirika hadi wafanyabishara kukimbia, kuna mazuri aliyafanya ndio kama ujenxzi wa miundombinu na Samia kasema ataendeleza. Ilani itatekelezwa na Samia ana namna yake ya kuitekeleza, tatizo sio ilani,
Na je kwani Samia katembeza bakuli? na je Magufuli alikuwa haombi msaada? alikuwa hapokei msaada?

Na tangia lini waweklezaji wakawa wabaya kwa nchi? nchi kama Marfekani, Uingereza zenyewe zimepiga hatua kutokana na mitaji ya watu wa nje kuwekeza huko, Tanzania ndio isihitaji wawekezaji?

na je Magufuli nae alipokuwa akimpond Kikwete wakati yeye alikuwa sehemu ya Serikali yake ni kwa nini na yeye asijiuzulu?
Hoja mfu zisizoakisi uhalisia. Mwekezaji akiwekeza nchini ni nani anayepata faida? Mwekezaji haweki pesa zake kwenye benki za Tanzania hapo unafaida gani zaidi ya ajira za vibarua huku rasilimali zikiondoka kwenda nje na kurudishwa katika zao lililokamilika na kuuzuiwa kwa bei ya juu.
 
Dalili ya mvua ni mawingu, hali hii inatokana na matamshi na vision ya kiongozi aliyeko Madarakani.

Si kweli kwamba utaratibu wa uwekezaji nchini ni mbaya, nakataa hili kwa ushahidi kwa kupitia kauli ya mfanyabiashara maarufu hapa nchini Rostom Aziz aliyoitoa akiwa ziarani Kenya aliyeambatana na Rais Samia.

Alisema, mfano kuna kampuni 530 za Kenya zimewekeza nchini Tanzania,hebu lingania makampuni ya Tanzania nchini Kenya ,ambayo ni 30 tu, hivyo uwekezaji nchini kwetu ni rahisi kabisa, ispokuwa kuna machache ya kurekebisha kulingana na matakwa ya muda husika.

Hivyo sisi tumefungua fursa zaidi kuliko wenzetu, isipokuwa wenzetu wametugeuza sisi ndio raw materials producers wa viwanda vyao na wanahakikisha hatukui kwenye eneo la viwanda nchini. Hili Magufuli alilipinga kwa nguvu zote ndio maana akaja na sera ya viwanda.

Niseme tu hayati Magufuli alikuwa ni mtu ambaye Mara nyingi alifanya tafiti na kupata takwimu kabla ya Maamuzi magumu kutolewa, hii ilimfanya aheshimike sana duniani licha ya mahasimu wake kumshusha thamani.

Hayati Magufuli enzi ya utawala wake hakupenda kabisa ubabaishaji na hili lilimgharimu sana .ndicho kilichopelekea baadhi ya makampuni na wafanyabiashara matapeli kukimbia nchini, ambao Mama Samia kaenda kuwapigia Magoti.

Sasa naiona Tanzania inarudi ilipotoka, Tanzania inaenda kuwa nchi ya wachuuzi tena ,pamoja na raslimali lukuki ilizonazo,hii inaendana pia na kushuka kwa morali ya uwajibikaji wa baadhi ya viongozi wetu na kujiingiza kwenye rushwa.

Maneno aliyosema Rais Samia alipokutana na wafanyabiashara nchini Kenya ya kwamba anaenda kuifungua nchi. Je, ni lini nchi hii ilifunga mipaka yake?

Nafikiri angesema hakusanyi kodi tena wawekezaji ruksa kufanyabiashara nchini bila masharti tungrmuelewa na jambo hilo halipo duniani, kodi ndio msingi wa maendeleo, serikali kama haikusanyi kodi haina uhalali wa kutawala.

Mwisho kataja bandari ya Bagamoyo na eneo la viwanda, tusikubali uharaka haraka wake kusaini hii mikataba bila ya kujiridhisha, bunge lihakikishe mikataba hii haisainiwi gizani kama alivyofanya kwenye hili bomba la kuuza gasi nchini Kenya.

Mambo haya yalifanyika sana enzi za awamu ya nne, na yameligharimu sana taifa baada ya hayati Magufuli kutaka kuinasua nchi kwenye ujinga huu, naona Mama Samia anataka kupita kulekule kulipotugharimu. Vinginevyo nchi hii tunaenda kugawana mbao, Magufuli kaondoka kawatoa watanzania tongotongo machoni.
Lakini kodi za maguvu na task force hapana, hata mwizi akipita karibu yako usimpige kwa tofali bali mpige kwa akafie mbali
 
Mtoa mada una kadalili ka ujinga fulani hivi.
Unaona lakini huelewi, unasikia lakini tena huelewi.

Wafanyabisahara walikuwa wanaporwa mchana kweupe katika huko "kujitegemea".
Hili umelisikia lakini bado huelewi.
"Mapato" haramu ylitokana na huko kupora biashara za watu ambao sasa wengi wamefunga biashara.

Watu kwei mna vichwa vigumu sana kuelewa.
 
Endelea kuimba mapambio ya mama anaupiga mwingi
 
Back
Top Bottom