Tanzania inayotaka kujitegemea kiuchumi sasa inarudi zama za kutembeza bakuli ughaibuni

 
Nimesoma kidogo nimekifiwa huwezi kutengeneza taifa lakujitegenea kwa kufilisi au kuhujumu mali za wananchi wako na kutoajiri wafanyakazi wapya pia kuto ongeza mishahara watumishi wanakufa nakustafu lakini wewe hauajiri + vyeti feki namzu nguko utatoka wapi unatufilisi wavuvi kwa kisingizio cha uvuvi haram ilikuwatisha watu wakupe pesa kwanguvu baada yakuharibu mzunguko unabaki unavamia kila sehemu matokeo unasingizia watu madawa ya kulevya mara hoo uhujumu uchumi eti ndio vyanzo vya napato yakujitegemea ukimaliza hizo vuruguzako nawatu tubaki tunakuangalia wewe nchi itaendaje? Nadhani utatafuta soko laraia wako nje sasa au udhulumu nyumba zao ulipwe kila wiki kama kodi
Nb sijuwi huwa mnamasikio au ni matundu ya urembo mama kasema najuwa tutashuka kwa muda lakini baadae tutakaa sawa ukimwelewa vizuri anataka kuongeza kwanza mzunguko mzunguko ukikaa sawa tutakuwa vizuri ukitaka kujuwa magu hakuwa vizuri muangalie mstafu anasomba mchanga nakuvunja kokoto pesa yakustafu anaidai serekali nahajui lini atalipwa hayo ndio madhara yakuuwa mzunguko
 
Hoja mfu zisizoakisi uhalisia. Mwekezaji akiwekeza nchini ni nani anayepata faida? Mwekezaji haweki pesa zake kwenye benki za Tanzania hapo unafaida gani zaidi ya ajira za vibarua huku rasilimali zikiondoka kwenda nje na kurudishwa katika zao lililokamilika na kuuzuiwa kwa bei ya juu.
 
Lakini kodi za maguvu na task force hapana, hata mwizi akipita karibu yako usimpige kwa tofali bali mpige kwa akafie mbali
 
Mtoa mada una kadalili ka ujinga fulani hivi.
Unaona lakini huelewi, unasikia lakini tena huelewi.

Wafanyabisahara walikuwa wanaporwa mchana kweupe katika huko "kujitegemea".
Hili umelisikia lakini bado huelewi.
"Mapato" haramu ylitokana na huko kupora biashara za watu ambao sasa wengi wamefunga biashara.

Watu kwei mna vichwa vigumu sana kuelewa.
 
Endelea kuimba mapambio ya mama anaupiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…