Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #41
Thanks for your understanding and concernDear Members,
The topic was for the Honorable President to send condolences and not raise racism in the context?
Where is our humanity??
Kisukari kinatisha sana. Kuna mzee mmoja alikuwa jirani yetu zamani alikatwa vidole vyooote vya miguuni kisha diabetesKisukari na magonjwa ya moyo ni mengi sana India kutokana na genetics zao changanya na life style.
Indians ni wengi sana. Obama alikuwa anapenda kusema India ndio World Largest Democratic Nation ingawa China ni highly populated kuliko IndiaWingi wao pia nadhani unachangia sana, labda social distance inakua vigumu sana kulingana na mazingira na familia zao kuishi kwa wingi wingi.
Amen. Hakika Mungu ni mwemaHarafu kuna wabumbafu humu walikuwa wakisema serikali ya Jpm ilikuwa inaficha vifo vya corona.tanzania haijawai kupatwa na corona,kama ingepatwa tungelikuwa zaidi ya India,tumshukuru Mungu kwa kutuponya.
Ukiwa na kisukari inatakiwa uishi kwa displine ya hali ya juu. Mazoezi, vyakula na dawa.Kisukari kinatisha sana. Kuna mzee mmoja alikuwa jirani yetu zamani alikatwa vidole vyooote vya miguuni kisha diabetes
Umenichekesha sana mkuu eti wanaendekeza kula. Mkuu unasema India sio watu wa michezo wakati mafundi wa mchezo wa cricket wapo huko?Sema wahindi wanaendekeza kula sana inayopelekea watu wengi kuwa na miili mikubwa( wanene) ukizingatia sio watu wa mazoezi, kwahiyo wakikutana na Corona lazima iwe tatizo
Asante kwa ushauri mzuri piaSerikali ipige marufu safari za Air Tanzania to Bombay ili kuzuia kutuletea maambukizi huku kwetu
Safi sana mkuuMsaada mkubwa wa sisi kuwapa wadosi ni kuzuia atcl safari za mumbai kwa muda
Mkuu, hizo chanjo zenyewe bado zina changamoto lukuki na nchi zinazoweza kumudu gharama za lockdown ni zile zenye uchumi wa hali ya juu sana kama USA na EU countries...Kwa wakati huu kusingepaswa kuwe Kuna nchi inapitia pito gumu la corona Kama ilivyokua mwanzoni mwa kuanza kwa ugonjwa wenyewe.
Kwa sababu elimu inatokiwa kupewa watu wameshapewa Sana, tagadhari zinazotakiwa kuchukuliwa kuukwepa ugonjwa huu zinajulikana wazi na zaidi ya yote chanjo zipo na zinasadikika kufanya kazi.
Mbona tunawasaidia kila siku. Rejea waingereza walivyotuletea raia wake kutunyonya na hata baada ya waliowaleta kuondoka tumewabikiza wakiendelea kuneemeka. Rejea kashfa kubwa zilizowahi kutokea Tanzania zilivyowahusisha baadhi ya raia hawa. Rejea Tanzanite yetu ilivyokuwa ikotoroshwa na madini mengine hata mitaji kwenda India. Kimsingi, Tanzania na Afrika zimechangia kikubwa kujenga uchumi wa India.Mambo vp jamiiforums.
Mama yetu Liberata Mulamula, hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee (bila kutuma pesa) zinatosha sana.
==========
View attachment 1765544
==========
Juhudi za kimataifa zinaendelea katika kujaribu kuisaidia India wakati nchi hiyo inakabiliwa na uhaba mkubwa sana wa oksijeni baada ya kuongezeka kwa visa vya Covid.
Uingereza imeanza kutuma vifaa vya kusaidia kupumua na vifaa vya kusaidia kutengeneza oksijeni. Nchi wanachama wa EU pia wanajiandaa kutuma misaada.
Marekani imekwisha aondoa marufuku ya kutuma malighafi nje ya mipaka yake, hivyo kuiwezesha India kutengeneza chanjo zaidi ya AstraZeneca. Delhi mji mkuu wa India umeongeza muda wake wa katazo la watu kutoka nje (lockdown) wakati huo hospitali zilizojaa utitiri wa watu zinaendelea kuwarudisha wagonjwa makwao.
Aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania Dr. JPM siku alipokutana na rafiki yake Waziri Mkuu wa India.
==========
View attachment 1765569
==========
Serikali ya Urusi imeidhinisha mipango ya kutuma mitambo zaidi ya 500 ya uzalishaji wa oksijeni kwenda India ili kuongeza vifaa. India iliripoti visa 349,691 zaidi katika muda wa saa 24 hadi Jumapili asubuhi (April 25, 2021) na vifo vingine 2,767, hata hivyo takwimu za kweli zinafikiriwa kuwa kubwa zaidi.
Alipofariki mume wa malkia wa Uingereza Prince Philip, tulijitahidi sana kwa kuwapa pole ndugu zetu wa Uingereza. Pongeze sana kwa Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan pamoja na timu yake.
==========
View attachment 1765545
==========
SWALI: Mama yetu Liberata Mulamula, hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa nchini India? Hata salamu za pole pekee?
==========
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Napendekeza tuwape gunia kadhaa za Mchele na mahindi na pia tuwaangalizie dagaa kidogo na nyama ya ngombe kilo kadhaaMambo vp jamiiforums.

Hakika Mungu awape wepesi wahindi. Ninadhani chanjo nazo ni gharama sana mkuu. Just imagine watu wote wale kuwapiga chanjo hizo hela zitakazotoka sio za kitoto mzee baba.Kwa wakati huu kusingepaswa kuwe Kuna nchi inapitia pito gumu la corona Kama ilivyokua mwanzoni mwa kuanza kwa ugonjwa wenyewe.
Kwa sababu elimu inatokiwa kupewa watu wameshapewa Sana, tagadhari zinazotakiwa kuchukuliwa kuukwepa ugonjwa huu zinajulikana wazi na zaidi ya yote chanjo zipo na zinasadikika kufanya kazi.
Sasa sijajua huko India Ni wapi wamekosea, yote ya yote Mungu awape wepesi .
Dini ya ukristo ililetwa na wazungu. Kabla ya wazungu na waarabu kuja Afrika, sisi tulikuwa na dini zetu ingawa Mungu ni huyo huyo mmoja...Nitawasaidia ushauri. Wache dhambi yao ya kuabudu ng'ombe, khalafu wampokea Bwana Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yao kwa Kumkiri, Watubu na Wabatizwe ili wakamilishe tendo la kuzaliwa kwao. Wawe wamezaliwa kwa mwili na kwa Roho.
Duuuuuuu hii sasa kalilabda tupeleke magogo kwa ajili ya kuni naskia kuni zimekuwa adimu uko india
Shetani ni kiumbe mmoja mbaya sana.Nitawasaidia ushauri. Wache dhambi yao ya kuabudu ng'ombe, khalafu wampokea Bwana Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yao kwa Kumkiri, Watubu na Wabatizwe ili wakamilishe tendo la kuzaliwa kwao. Wawe wamezaliwa kwa mwili na kwa Roho.
Shetani ni mbaya sana anakuanzishia kukupigisha jaramba la moto hapa hapa duniani kwa moto wa kuni za mijohoro.
Vatican ilipitia nini mkuu? Au unamaanisha Italy?Indian inapitia vatcan ilikopita
Sio mbaya ingawa pia niliwahi kusikia Indians ni watumiaji wakubwa sana wa koroshoLabla tuwapelekee mbaazi.
Huruma saaaana mkuu...Sio siri India wamepigika na COVID-19 hadi huruma.