Tanzania - India Relations: Hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee zinatosha sana

Tanzania - India Relations: Hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee zinatosha sana

Si wawape asrazoneka mbona wanazunguka Sana kila siku Wana taka kutupa sis basi chanjo zetu tumekubalia wapewe wao
 
Afu hivi kwanini lugha ya kihindi haizunguzwi na wazawa kama zilivokuwa lugha nyengine? Kwanini watanzania wanaokijua kihindi ni wachache ukilinganisha na kichina, kiarabu, kingereza, kiitaliano, kihispania nk shida nini sisi wazawa hatutaki kujifunza au wao hawataki kutufundisha
 
Dini ya ukristo ililetwa na wazungu. Kabla ya wazungu na waarabu kuja Afrika, sisi tulikuwa na dini zetu ingawa Mungu ni huyo huyo mmoja...

Dini ya wafuasi wa Kaini na Nimrod si dini ya wafuasi wa Abel na Sethi hata Mungu wao si mmoja kwa sababu Kaini alikaidi ushauri wa Mungu wa Mbinguni. Huyu Sethi Sio yule singasinga lakini.
 
Dini ya wafuasi wa Kaini na Nimrod si dini ya wafuasi wa Abel na Sethi hata Mungu wao si mmoja kwa sababu Kaini alikaidi ushauri wa Mungu wa Mbinguni. Huyu Sethi Sio yule singasinga lakini.
Sethi na Rugemalila daaah hawa jamaa bado wapo ndani mpaka leo
 
Covid iliichapa Brazil about 2 months ago sasa imehamia India ,duu pole yao

Tusikie utani kama tunaweza zuia raia kutoka India wasiingie kwetu ni hatari sana hatujui next kituo
 
Kwakweli jamaa wanadondoka kama senene! Wanapukutika hichi kirusi siyo cha kuchukulia poa hata kidogo.

Kilichowafanya jamaa, nahisi hata health tourism, itakufa. Wale ambao tukiugua vichomi safari mbio Iringa.

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Back
Top Bottom