abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Dini ya ukristo ililetwa na wazungu. Kabla ya wazungu na waarabu kuja Afrika, sisi tulikuwa na dini zetu ingawa Mungu ni huyo huyo mmoja...
Shetani ni kiumbe mmoja mbaya sana.
HakikaNa wafuasi wa shetani kama baba yao alivyo bava wa uongo wote.
Baba wa uongo kama Mbowe. Ameanguka kwa Konyagi anasingizia kapigwa.Na wafuasi wa shetani kama baba yao alivyo bava wa uongo wote.
Lissu ndio number mbili kwa uongoBaba wa uongo kama Mbowe. Ameanguka kwa Konyagi anasingizia kapigwa.
Sethi na Rugemalila daaah hawa jamaa bado wapo ndani mpaka leoDini ya wafuasi wa Kaini na Nimrod si dini ya wafuasi wa Abel na Sethi hata Mungu wao si mmoja kwa sababu Kaini alikaidi ushauri wa Mungu wa Mbinguni. Huyu Sethi Sio yule singasinga lakini.
Jamaa wapo wengi sanaNa Ile polution Kule..lazima waishe
Upo sahihi kabisa mkuu. Haya matatizo ya duniani hayana mwenyeweLeo kwaokeshokwetu
Sisi wenyewe tuko kwenye foleni.Poleni sana Wahindi
Ukatili wa Wahindi wachache sio ukatili wa India nzima.makatili sana hao wa se nge, wafe tu
Chanjo ni kabla ya kuumwa ila ukishaumwa suluhisho ni tiba kwa maana lengo la chanjo ni kuzuia ugonjwa na sio kutibu.
Sky Eclat nipo sahihi katika hili?