Like i careMtu kama wewe hauna thamani yoyote hapa duniani
Acha unaa wewe bado kijana mdogo sanaLike i care
Hii waswahili huita kufa kufaana hakika kuna watu wana roho ngumu sana mpaka wanatengeneza virusi wa corona. Mzungu mbaya sana.India is a very lucrative market for the Covid vaccine. (1 billion + people). Wameshindwa China sasa wameenda India. Africa watawapiga SA au Nigeria. Mark my comment!
Mabeberu wanatengeneza ugonjwa alafu baadae ndio wanajifanya kuja na chanjo.Hii waswahili huita kufa kufaana hakika kuna watu wana roho ngumu sana mpaka wanatengeneza virusi wa corona. Mzungu mbaya sana.
Chuki binafsi baina ya mtu mmoja na mwingine sidhani kama zinaweza kuwa ni msimamo wa nchi zao. Kumbuka kuna jamii kubwa sana ya watanzania wana asili ya huko India.
Watu kama hao wakija kuzeeka baadae ndio wanakuja kuwa wachawiAcha unaa wewe bado kijana mdogo sana
Utakuta kijana mdogo lakini anamiliki zinga la jimama. Vijana badala ya kufanya kazi wao wanawaza kutunzwa tu na sugar mamazAcha unaa wewe bado kijana mdogo sana
Mchina anaweza kuwa rafiki mzuri sana kuliko mzunguHii waswahili huita kufa kufaana hakika kuna watu wana roho ngumu sana mpaka wanatengeneza virusi wa corona. Mzungu mbaya sana.
Rafiki wa kweli ni Mungu peke yakeMabeberu wanatengeneza ugonjwa alafu baadae ndio wanajifanya kuja na chanjo.
Mkuu embu temea chini kwanza kabla haujafa ukaumbika!Tangu lini Wahindi walikuwa marafiki wa watu wenye ngozi nyeusi?
Chanjo zenyewe mpaka sasa hazina uhakika wa kutibuMabeberu wanatengeneza ugonjwa alafu baadae ndio wanajifanya kuja na chanjo.
Beberu wa Tanzania ni CHADEMAMabeberu wanatengeneza ugonjwa alafu baadae ndio wanajifanya kuja na chanjo.
Kuna wanadamu bado wana roho nzuri sana kwa kweliRafiki wa kweli ni Mungu peke yake
Hakuna aliyetengeneza huu ugonjwa mzee. Huu umekuja kama magonjwa mengine tu ya binadamuMabeberu wanatengeneza ugonjwa alafu baadae ndio wanajifanya kuja na chanjo.
Tena Huruma sana mkuu...Sio siri India wamepigika na COVID-19 hadi huruma.
Unajifanya unajua kiingereza kumbe hauna lolote lileLike i care
Labda alisomaga English Medium Schools utajuaje mkuuUnajifanya unajua kiingereza kumbe hauna lolote lile
Wachina ndio walitujengea reli ya Uhuru/TAZARAMchina anaweza kuwa rafiki mzuri sana kuliko mzungu