Tanzania - India Relations: Hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee zinatosha sana

Tanzania - India Relations: Hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee zinatosha sana

Hivi Twiga wetu bado anaenda huko! Ni vema safari zikasitishwa, ni hatari kuendelea kwenda huko kwa hali ilivyohuko India
 
Hiyo ndio hali ulaya waliitabiria Africa sasa Wahindi,Brazil na USA wanaisoma namba kiukweli!Wahindi wanadharau ila kwa tuliofika India km Maharashtra nk hamna la maana kwa kweli kina nuka hatari na ni watu wachafu sana
 
Chuki binafsi baina ya mtu mmoja na mwingine sidhani kama zinaweza kuwa ni msimamo wa nchi zao. Kumbuka kuna jamii kubwa sana ya watanzania wana asili ya huko India.

Hao sitaki kuwasikia wala kuwaona inchini kwetu
Wana dharau wkt India ni maskini balaaa
 
Tangu lini Wahindi walikuwa marafiki wa watu wenye ngozi nyeusi?
Mkuu embu temea chini kwanza kabla haujafa ukaumbika!

Mradi mkubwa wa kutandika bomba kuu la maji toka ziwa Victoria kwenda kanda ya kati, msaada huo nani aliutoa?

Hata kama hauna kitu, kurudisha fadhila kwa mfadhili ijapo kwa maneno matupu kama alivyosema mtoa mada inatosha na huo ndiyo uungwana.
 
Back
Top Bottom