Tanzania - India Relations: Hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee zinatosha sana

🤣🤣🤣

Nitaita Mods hapa halafu wakiunganisha ID zako ukadhalilika, usinilaumu.
Mods waunganishe IDs zinazotumika katika computer ya internet cafe? Nitawashangaa sana.
 
Mods waunganishe IDs zinazotumika katika computer ya internet cafe? Nitawashangaa sana.
Issue ni mtu mmoja ID sasa wewe una ID nyingi hata kama nyingine unaitumia kwenye simu yako na nyingine Cafe itafahamika tu, Omera.
 
Issue ni mtu mmoja ID sasa wewe una ID nyingi hata kama nyingine unaitumia kwenye simu yako na nyingine Cafe itafahamika tu, Omera.
Niambie kwanza maana ya hilo neno OMERA. Isije kuwa unanitukana bila mimi kujijua.
 
Wana ubaguzi hatari! Wanakupelekesha kazini alafu wakati wa mshahara wanaona kama wamekupa msaada
Kuna uncle wangu mmoja alitaka kumtupa kijana wa kihindi kutoka ghorofani mpaka chini kisa dharau za kitoto eti yeye ni boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…