Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Omera,India wamefanikiwa sana katika hili
Hii ni ID yako nyingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Omera,India wamefanikiwa sana katika hili
Omera ndio nini mkuu?Omera,
Hii ni ID yako nyingine?
Awinjo ndio nini tena mkuu mbona kama unataka kunichanganya?Awinjo,
Kwahiyo huelewi ?
🤣🤣🤣Awinjo ndio nini tena mkuu mbona kama unataka kunichanganya?
Mods waunganishe IDs zinazotumika katika computer ya internet cafe? Nitawashangaa sana.🤣🤣🤣
Nitaita Mods hapa halafu wakiunganisha ID zako ukadhalilika, usinilaumu.
Issue ni mtu mmoja ID sasa wewe una ID nyingi hata kama nyingine unaitumia kwenye simu yako na nyingine Cafe itafahamika tu, Omera.Mods waunganishe IDs zinazotumika katika computer ya internet cafe? Nitawashangaa sana.
Niambie kwanza maana ya hilo neno OMERA. Isije kuwa unanitukana bila mimi kujijua.Issue ni mtu mmoja ID sasa wewe una ID nyingi hata kama nyingine unaitumia kwenye simu yako na nyingine Cafe itafahamika tu, Omera.
Mwenye mada (kama siyo wewe ) atakwambiaNiambie kwanza maana ya hilo neno OMERA. Isije kuwa unanitukana bila mimi kujijua.
Maana yake wewe bado mdogo kojoa ukalaleOmera ndio nini mkuu?
Wakiwa huku bongo full mashauzi kumbe kwao ni choka mbayaKina kashori wanapigika kweri-kweri!
Wana ubaguzi hatari! Wanakupelekesha kazini alafu wakati wa mshahara wanaona kama wamekupa msaadaWakiwa huku bongo full mashauzi kumbe kwao ni choka mbaya
Kuna uncle wangu mmoja alitaka kumtupa kijana wa kihindi kutoka ghorofani mpaka chini kisa dharau za kitoto eti yeye ni boss.Wana ubaguzi hatari! Wanakupelekesha kazini alafu wakati wa mshahara wanaona kama wamekupa msaada
Angekitupa tu cha muhimu kusiwe na ushahidiKuna uncle wangu mmoja alitaka kumtupa kijana wa kihindi kutoka ghorofani mpaka chini kisa dharau za kitoto eti yeye ni boss.
Wazee wa bagia za pilipiliKina kashori wanapigika kweri-kweri!
Nilifanya nao kazi sana miaka ya 2008 - 2014 wana roho mbaya sijapata kuonaWazee wa bagia za pilipili
India watu wengi sana wanalala njeWakiwa huku bongo full mashauzi kumbe kwao ni choka mbaya
Vp kama wakati wa kukojoa akanya kidogo? Kuna ubaya?Maana yake wewe bado mdogo kojoa ukalale
Una bwana? Anakukula vizuri usiku?Vp kama wakati wa kukojoa akanya kidogo? Kuna ubaya?