Tanzania - India Relations: Hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee zinatosha sana

Tanzania - India Relations: Hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee zinatosha sana

Safari zimesshasitishwa mkuu!
Tumefunga mlango wa kutoka kwenda huko; Lakini je, wanaotoka huko hatutawafungulia mlango waingie? 🤔 🤔
Ila hawa wahindi wa hapa bongo wanavyojisikia kana kwamba kwao hakuna umasikini wa kutisha.
 
Watu wengi wasiojua ni kwamba
Corona imetengenezwa ili watu wapate fedha. Kiufupi ni biashara kama biashara zingine.
Tupo kwenye ulimwengu wa imperialism.
Wewe ukifa wenzako watapiga pesa. Wauza majeneza wanalaani sana kwanini hali ya India isitokee TZ?
Mwenzako anataka kupiga pesa, wewe unamwambia atoe msaada. Mitungi ya oksijeni, chanjo, barakoa n.k inauzika sana India.
Ukienda hospitalini pale getini, utawakuta watu wanauza barakoa. Kwann hizo barakoa wasikupe bure?
Tupo kwenye ulimwengu wa Capitalism halafu unaturudisha kwenye ujamaa
Mkuu, inawezekana China inaendeleza ile falsafa ya adui yako muombee njaa
 
Mjini msaada ni salama tu. Hivyo vingine ni pesa.
Tangu ulipokosa kazi, umegeuka kuwa mshauri mkuu. Unashauri mambo mengine hayana hata maana. Siku hizi unatoa thread za utopolo sana. Sijui TANESCO wakopeshe umeme.
Wewe mwenyewe umekopesha pesa na umedhulumiwa.
Ni nani amekurudisha katika ujamaa? Are you okay upstairs?
 
Mjini msaada ni salama tu. Hivyo vingine ni pesa.
Tangu ulipokosa kazi, umegeuka kuwa mshauri mkuu. Unashauri mambo mengine hayana hata maana. Siku hizi unatoa thread za utopolo sana. Sijui TANESCO wakopeshe umeme.
Wewe mwenyewe umekopesha pesa na umedhulumiwa.
Utakalia nyama na kuliwa kiboga mtoto wa kiume wewe. Mbona unamchokoza Soja? Amekufanya nini huyo jamaa?
 
Back
Top Bottom