Tanzania inflation rises on food, fuel prices, heading to double digits?

Wakati wa mramba gesi 15kg sh 18 000 sasa sh 44 000,mafuta ya kula ilikua sh 23 000 lita 20 sasa sh 50 000
 
Kuchagua CCM ni maafa. Acha tupigike! Aah nilisahau kumbe haikuchaguliwa ili ilchaguliwa na NEC
 
Nyama ya Ng'ombe ikikuwa 2000 mpaka 2500 sasa ni 5500 do hii ni ajabu kabisa.
 
acha blah blah na uvivu wa kusoma! nenda kasome consumers price index utafafahamu tu au fuatilia oil crisis ambayo no universal crisis, ndio utafahamu kwanini tuna hali hiyo

Kalagabaho,hata wewe hyo consumer haijakutoa matongotongo,kaa kimya,unajfanya umesoma kumbe ulikariri,wataalam wa economics wameshasema,tabia za kutembeza BAKULI LA KUOMBAOMBA NDO ZME2LETA HAPA,NA PIA KUTOKUA NA WATU AMBAO WAPO KOMITED KUFANYA KAZI,HASA HAO WAKUSANYA MAPATO-MREJELEE DR.SEMBOJA,PALE DPT OF ECONOMICS,udsm.ala
 
Kalagha bao, nadhani huyu mwenzetu anayetetea kuwa eti inflation kuwa 8%-9% ni sahihi labda yeye mwenyewe haelewi nini maana ya consumer price index,
Lazima afahamu kuwa price index inahusisha utafutaji sahihi(research) ya manunuzi ya consumers katika eneo husika ndio unapata matokeo sahihi, sasa kama reseach itafanywa hovyohovyo basi hakuna ukweli wowote utakao fikiwa zaidi ya ripoti za uongo kwenye mambo yasiyotaka longolongo!
Inabidi usome tena price index!
 
What can we do to correct this misleading information..? coz hata wawe wanatumia vigezo gani haiwezekani iwe inapingana na hali halisi kwa kiasi kikubwa hivyo..
 
Wakuu wiki hii naona vitu vya maajabu, sijui kama ni mimi tu naona vifaa vya unejzi vinapanda bei ghafla vingi nimeona kama vimepada bei kwa asilimia zaidi ya 20. Sijui kama ni mimi tu au wote tunaona hali hii.

Lalamiko kubwa ni kuwa kukatika kwa umeme kunaongeza gharama za uzalishaji.

Mpaka dakika hii sijasikia kauli yoyote ya wahusika.
 
Mimi ni good shoper so nipo updated sana na bei za bidhaa of various types ranging from market items to boutique items to electronic items. nilichokipata katika miezi hii 6 ya mwisho ni kwamba hakuna bei ya bidhaa inayosimama kwa mwezi mmoja bila kupanda. naposema hakuna namaanisha zipo ambazo bei zake zinakuwa stable kwa kipindi hicho ila idadi yake ni insignificant. Pia namaanisha zile bidhaa muhimu kwa matumizi ya kila siku ya mtanzania wa kawaida. Bob Marley alisema 'a hungry man is an angry man' so katika trend hii ya uncontrolled inflation ambapo kila kukicha watu wana-cut even 'neccesary expenditure' kama kula, hasira za watu dhidi ya serikali inaongezeka.

huwa nabahatika ku-interact na maafisa waandamizi wa serikali ambao baadhi yao ni makada waandamizi wa CCM pia, nilicho-notice ni kwamba zaidi ya nusu yao wanakiri CCM ipo off-road nikizungumza nao personally japo publicly wana-pretend kuipigia debe CCM. Kwa maantiki hii nina hakika hata Tambwe Hizza moyoni anakiri CCM wamechemsha kuiongoza nchi ila for her stomach sake anapiga propaganda.

In conclusion, usalama wa taifa hawafanyi kazi yao ipasavyo maana hata ugumu wa maisha unaoendelea kuongezeka kwa watanzania greatly kutokana na poor performance ya serikali ni hatarishi kwa usalama wa Taifa so they need to pressurize the govt to control it otherwise mambo yanatibuka soon!!
 
Tanga kwetu nimekupata! hali ilivyo ni mbaya sana bei ziko juu,mfumko wa bei (inflation) kwenye vyakula uko juu sana,kwa lugha rahisi bei ziko juu kuliko wanavyoreport inflation rate.

Kumbuka walichakachua fomula ya kukokotoa inflation, walihama kutoka wanayoita wholesale price index (WPI) kwenda kwenye Consumer price index (CPI) kama ambavyo mataifa mengi yaliyoendelea na africa yanafanya. Lakini uchakachuaji umekuja kwenye uzito (weight) vyakula (food inflation) unabeba katika hiyo inflation rate, wameweka weight ndogo kuliko tunavyolipa bei halisi,na kwa maana hiyo wakati bei ziko juu kwa food na non food commodities bado wao wanainflation rate ndogo sana.

Hii haina maana hata kidogo, wanafurahia namba imekuwa ndogo wakati watu wanapata tabu huko mitaani. Mi sijasoma uchumi lakini naweza kutambua upuuzi huu, badilisheni weight ili tupate inflation rate sahihi,period.
 
We unashangaa nn sasa, a corrupt government cooks everything. Wakati wa uchaguzi waziri wa fedha alikuwa na inflation rate tofauti na aliyotaja Governor Ndullu na ikawa tofauti na aliyotaja JK. Yaani nchi hii vuru vuru mwanzo hadi mwisho.......
 
Na mwezi Januari serikali ilitoa taarifa kwamba makusanyo ya kodi kwa mwaka 2010 yamepita makadirio. Na akiba ya fedha za kigeni ni kubwa kiasi ambacho hakijawahi kufikiwa katika nchi hii. Cha ajabu Katibu wizara ya Fedha, anatembeza bakuli la kuomba misaada kwa balozi za kigeni hapa nchini. Eti kuna upungufu wa fedha na chakula hivyo saidia masikini. Hivi mbona serikali hii haina ukweli kwa kila jambo? Hivi hizi wizara haziwasiliani ili kujua nani atoe taarifa gani?

Kila siku madudu madudu. Kila waziri anasema lwake. Ili mradi mwisho wa siku ni kuwadanganya watanzania.
 
UtAkuta sasa hivi wanatumia data za mwaka 2008 kwa kujua watz hawapekui.. ha ha haaa!
Usicheze na corrupt government mkuu...Kila watakachoongea ukikipindua utapata shock!
 
Walibadilisha upimaji wa inflation na vitu vilivyotumika kudetermine inflation hivyo sasa hivi inasimama 5.6%
 
Ufisadi wa DOWANS, mgao wa umeme unaendelea kuvuruga uchumi wa nchi. Kagame wa Rwanda ameweza kushusha inflation mpaka -6.52% (a negative inflation rate or deflation). Huku Bongo bei ya sukari, petroli, umeme, sembe, maharage, ada za shule, zinapanda kila kucha. Haya ndiyo Maisha Bora kwa kila Mtanzania Kikwete aliyoahidi kutuletea?

 

Nilisema nikabezwa na sasa yaleyaleeeee! Nyerere alijenga Mwinyi akabomoa, Mkapa akarebisha mambo angalau yalianza kukaa kwenye mstari Kikwete amekuja anaendelea kubomoa tena kwa kasi kuliko hata ilivyokuwa wakati wa Mwinyi. Kwa speed anayoenda nayo mkwere tutafika 2015 na inflation rate yenye THREE DIGITS.
 
TUNATAKA MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TUME HURU
YA UCHAGUZI BUNGENI SASA HIVI!!!


Enyi Ndugu Waheshimiwa viongozi wetu

akina Kikwete, Dr Slaa, Prof Lipumba, Mbowe, Julius Mtatiro, Zitto Kabwe, Mbatia, Dr Mvungi, Prof Baregu, Prof Mukandala, Dr Bana, Dr Azaveli, Mama Nkya, Ndg Mgaya, Makwaia wa Kuhenga, Jenerali Ulimwengu, Reginald Mengi, Pius Msekwa, Fredrick Sumaye Fredrick Msuya, John Malecela, Mama Anna Makinda, Sheik Issa Bin Simba, Mhe Iddi Simba, Maaskofu na Wachungaji wote nchini, Denis Mwamnyange, Said Mwema, The Othma's, Tundu Lissu, Sitta, Mwakyembe, Mzee Mkapa, Mzee Salim Ahmed Salim, Mzee Sinde Warioba, Mzee Butiku, Prof Sarungi, Selasini, Ole Sendeka, Tido Mhando, Mama Maria Nyerere, Mama Karume, Selelii, Prof Bangu, Dr Matumaini, Bashe, Celina Kombani, Kafulila, Hamad Rashid, Regia, Lukuvi, Mama Maghimbi,Mama Anna Abdala, Pombe Magufuli, Mstaarabu wa Siasa Tanzania - Dr Mohammed Shein, Salmin Amour, Godbless Lema, Mzee Mwanakijiji, Maxence Melo, Candid Scope, Fareed, Mwakalebela, Mnyika, Halima Mdee, viongozi wote wa serikali za wanafunzi vyuoni ... na wengine wengi wengi wengi tu, sisi kama vijana wa nchi hii sasa hivi tunawaulizeni nyote kwa pamoja kwamba ...

... suala letu la michakato wa kujiandikia KATIBA MPYA na kuunda Tume Huru ya Uchaguzi ZINAANZA LINI BUNGENI???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…