Tanzania ingekuaje leo kama Oscar S. Kambona angewahi kuwa Rais wa Jamhuri? Tutafakari kwa Jicho Pevu

kambona alikuwa against azimo la arusha ambalo lililenga sera ya ujamaa na kama ujuavyo ujamaa hai_promote democracy , kosa la pili kutaka kuchukua nafasi ya urasi hayo ni makosa aliyoyafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona stori ya Oscar Kambona, kuvuliwa uanachama, kukaa uhamishoni, kupinga Azimio la Arusha, kuja na mawazo mbadala na kufa kama msaliti ni sawa na historia ya Kiongozi fulani wa CCM inayojirudia.
 
Kambona alitaka tuige demokrasia ya Wazungu kwa 100%

Tungefanya hivyo tusingekuwa na utaifa km tulionao sasa, tungekuwa Nchi ya wajinga km Kenya
Unakurupuka dogo. Inaelekea fikra za Kambona huzifahamu hata alikuwa nani na ni kwa nini alitofautiana na Mwl Nyerere hufahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa jinsi nivyosoma kidogo historia yake
na sisi kama alivyosema mdau mmoja huko juu tungekua kama kenya kwa jinsi alivyokua anahusudu wazungu
leo hii na sisi tungekua lockdown mda huuu tukisubiri WHO wanasemaje
 
kwa jinsi nivyosoma kidogo historia yake
na sisi kama alivyosema mdau mmoja huko juu tungekua kama kenya kwa jinsi alivyokua anahusudu wazungu
leo hii na sisi tungekua lockdown mda huuu tukisubiri WHO wanasemaje
Cooked history...
Mwalimu kaalibu akili za watu sana.
ona na wewe umeingia kwenye kapu la uwongo na usingiziaji!!

***KAMBONA MUONA MBALI***.
watu wa dizain ya kambona uzaliwa kwa nadra sana uku bara giza, na ukiwa na jicho la kuona mbali,utaundiwa zengwe baya sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…