Tanzania ingekuwa na Katiba kama ya Kenya maendeleo yangeongezeka sana

Tanzania ingekuwa na Katiba kama ya Kenya maendeleo yangeongezeka sana

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Watanzania ni lazima tubadilike hatuwezi kusubiri kiongozi mmoja mkali aje abadilishe nchi yetu. Nchi yetu Tanzania inaweza kukuwa na kuendelea kwa kasi kubwa kama tu tutaweka vitu kama vya Kenya. vitu hivi ni

1. Katiba kama ya Kenya
2. Mahakama kama ya Kenya

Yaani hivi vitu viwili vikihamishiwa Tanzania hii nchi itapanda kwa kasi sana. Tatizo tulionalo Watanzania tumekuwa wazito sana kutekeleza hata yale ambaye tunakubaliana kwamba ni muhimu mfano kila mtu anakubali katiba ni muhimu sasa kwanini hatubdilishi kwa manufaa ya nchi?.

Tunajiuliza kila siku kwanini hatuna maendeleo lakini maendeleo yana anza na katiba mpya ya kidemokrasia na mahakama huru. Mengine yote yanafuata
 
Naunga hoja mkono kwa 99%
 
Natamani siku tufikie levels hizi😥
 
Back
Top Bottom