Tanzania ingekuwa na 'Serious Opposition' hili la Wafanyakazi kufanywa Mazuzu wa kutopandishuwa Mishahara ingekuwa ndiyo Turufu yao kuingia Ikulu


Wafanyakazi wenyewe wengi ni walimu, wanajeshi, polisi ndio hao wanatumika kuiba kura... acha wakale walikopeleka mboga.
 
Sio makosa yao, makosa ya waliowaajiri. Tena ukute hao ndiyo wafanya kazi bora kuliko wenye vyeti orijino.

Tathmini nnayoiongelea itavumbua na kuyatibu yote hayo na mengine zaidi.

Chukulia tathmini niiongeleayo ni kama mfano wa CAG kutathmini na kukagua kila mfanya kazi kila mwaka. Na kutoa hati safi, mshahara unapanda. au kutoa hati chafu, unarudi darasani kwa vitendo na nusu mshahara au unakwenda jela. Hati yenye mashaka unakwenda darasani kwa vitendo moja kwa moja.
 
wafanyakazi wenyewe wengi ni walimu, wanajeshi, polisi ndio hao wanatumika kuiba kura... ache wakale walipopeleka mboga.
Tena huko ndiko kunakotakiwa kuwe na nidhamu za kazi za hali ya juu kabisa.
 
Hvi wameongezewa ngapi.maana wafanyakazi wa serikalini wanamkubali bimkubwa wanadai anaupiga mwingi[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Hivi Hawa watawala kwa mshahara huu hivi wana akili timamu
kweli kufikiria kuwa wafanyakazi sio wezi?
Nadhani wanamkubali kwa vile amewaruhusu kuibia serikali wakati yeye anatalii Canada na Marekani!
 
Hivi nyinyi sukuma gang God father wewe katika miaka yote mitano aliyoongoza alipandisha mishahara ya watumishi?
Mbona mliufyata kimya na hakuna hata mmoja aliethubutu kufungua kinywa chake?
Mama ndio kwanza ana mwaka mmoja tu ila kila siku maneno.
 
Sasa zile sini pesa zao,serikali haina hata shilingi pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…