nilisikia kuwa ni chuo cha liziwani k mrisho au?picha:zainab chondo
tume ya vyuo vikuu ( tcu) imetoa tamko la kusimamishwa kwa chuo kilichoanzishwa huko kimara njia ya kwenda bonyokwa kinachojiita tanzania international university . Tume hiyo imesema haijatoa hithibati kwa chuo hicho hivyo kutakiwa kufungwa na kutoa taarifa kwa vyombo vya habari ikiambatana na kutoa mabango yanayotangaza chuo hicho. Picha:zainab chondo.
Chanzo itv habari
DAAAAHHH ELfu 20 yangu jamani itakuaje ....mbona jamaa walituhakikishia sasa naombeni msaada ...jamaa wameota mbawa na fuba la 20:tape2::tape2::tape2::tape2::tape2::tape2::tape2::shut-mouth::shut-mouth:
Nashangaa sana my country,. Mwezi uliopita watu walifanya interview na walilipia TSh 20,000 kila kichwa na waliokuwa shortlisted ni wengi sana zaidi ya watu 150, jee nani anawajibika katika hiliii!!!
Hahaaaaaaaa,wakome nao,elimu haijawasaidia..ushawah sikia wapi interview unalipia???shame on them,dar they made a quick money from simple minded people who cant analyze simple issues..
hahaaaaa efu 20 yako ndo imeshakwenda jamaniDAAAAHHH ELfu 20 yangu jamani itakuaje ....mbona jamaa walituhakikishia sasa naombeni msaada ...jamaa wameota mbawa na fuba la 20:tape2::tape2::tape2::tape2::tape2::tape2::tape2::shut-mouth::shut-mouth:
Kwani na KIU inataka nini hapa nchini
Kwani na KIU inataka nini hapa nchini