Tanzania ipo kwenye process ya kuingia kwenye kurasa mpya, na zama mpya

De-zerbi

Member
Joined
Mar 7, 2024
Posts
82
Reaction score
103
Kama kisemavyo kichwa cha habari Tanzania inaingia kwenye zama mpya yafuatayo ni matukio yatakayo tokea kama njia ya Tanzania kuachana na zama zilizopita na kuingia zama mpya

Kuna ishara itatokea kwenye marais waliofariki na chama flani cha siasa; ishara hizo ni za ajabu ila zikitokea jua tumeingia kwenye zama mpya
 
Nuru mpya itaangaza UPYA 2030,

Dunia yote itatamani kuja kutalii Tanzania.

Ni lazima lipite Giza Totoro kabla ya kupambazuka.

Hilo nalo halishangazi!!
 
Kama kisemavyo kichwa cha habari Tanzania inaingia kwenye zama mpya yafuatayo ni matukio yatakayo tokea kama njia ya Tanzania kuachana na zama zilizopita na kuingia zama mpya

Marais waliofariki
Kuna jambo la kushangaza litatokea kwa marais waliofariki tayari

Chama flani cha siasa
Kuna jambo au tukio la kustaajabisha litakikumba chama flani cha siasa tukio hilo sio usaliti au mauti bali litastaajabisha sana

nuru ya taifa itazimika ghafla na itatumika nguvu kubwa kuiwasha tena ila haitawezekana tena sababu zama zake zimepita tayari

Mlima ulioko Tanzania
Tukio la mwisho litatokea Tanzania sio tu litastaajabisha Tanzania bali dunia nzima itabaki inahamaki inawezekanaje

Kumbuka Tanzania ipo kwenye process ya kuingia kwenye ukurasa mpya

Kamanda anapomtegemea Mungu kuleta mabadiliko ni janga kuliko la jhnpp.
 
Hakuna ukurasa mpya wala nini bali ni muendelezo wa kuiba tu
Yaani hata miaka 100 ijayo hatutabadilika maana kuna watoto wamewekwa kwenye pipe wale chipukizi wanaosoma Feza
Wameingia kwenye pay roll nyie kaeni mkiota tu
 
Tanzania 🇹🇿 taifa Baba na Chanzo cha baraka kwa mataifa mengine wote watajua.Kama alivyosema Yesu miaka 2000 iliyopita ndo imetokea sasa

Mathayo 21:43
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.
 
Kama kisemavyo kichwa cha habari Tanzania inaingia kwenye zama mpya yafuatayo ni matukio yatakayo tokea kama njia ya Tanzania kuachana na zama zilizopita na kuingia zama mpya

Marais waliofariki
Kuna jambo la kushangaza litatokea kwa marais waliofariki tayari

Chama flani cha siasa
Kuna jambo au tukio la kustaajabisha litakikumba chama flani cha siasa tukio hilo sio usaliti au mauti bali litastaajabisha sana

nuru ya taifa itazimika ghafla na itatumika nguvu kubwa kuiwasha tena ila haitawezekana tena sababu zama zake zimepita tayari

Mlima ulioko Tanzania
Tukio la mwisho litatokea Tanzania sio tu litastaajabisha Tanzania bali dunia nzima itabaki inahamaki inawezekanaje

Kumbuka Tanzania ipo kwenye process ya kuingia kwenye ukurasa mpya

NB:- kwenye hayo matukio hakuna hata mtu mmoja atakayefariki lengo lake sio kuwatisha watu
Visungura vimehalalishwa na serikali kwa makusudi.
 
Huu ni mwandiko wa askofu ‘mwanamapinduzi’🙂
 
Back
Top Bottom