Tanzania IQ ranking - amongst world's lowest but over Rwanda, Cuba, Ethiopia, Malawi etc

Imagine mtu kama Komba badala ya kujadili kwanini anapinga hoja ya serikali tatu yeye anakimbilia kuwakejeli akina Warioba ambao kimsingi siyo wanaojadiliwa pale Bungeni pamoja na kutishia kukimbilia polini,Sasa huyu mtu unadhani atawekwa kwenye kundi la IQ kama si 72 (Watu ambao hawawezi kufikiri juu ya kesho yao itakuwaje)
 
Mwenye hiyo kitu ya NAPE na NCHEMBA airushe Please. Maana sijawahi sikia kauli zao japo kwa wiki moja tu zisikinzane.
 
so people up here in the North (Mandera ward, Turkana etc) have more IQ than Tanzanians? :A S 13: BTW proven studies say people with jiggers have low iq! considering nearly half of Kenyans are infested with jiggers as testified here, how can you claim that iq?
 
Our president is admitting in public that he doesnt have the clue what make Tanzanians poor.Obviously he failed this IQ test too.Sadly he is our president now.No wonder our country is heading right down the hill,Where is Dr Salim when you need him?
 
Of course hata bila huo utafiti bado yafaa tujiulize sisi waTZ tunafanyaga maamuzi kwa kuchambua issues kwa kiwango gani? Mtu na aanze mtaani pake, mizoga, mifereji isiyo zibuliwa, kuchakachua vitu vidogo hadi matokeo ya mitihani na kura(sina hakika!).Hakika uwezo wetu ni below average
 
Jamani nimekutana na ripoti hiyo,,kama ni kweli haishangazi nchi kukosa mwelekeo.Unaweza kujionea mwenyewe ;
--------------------------------------------------------------

Source;statisticbrain
 
unaweza kuona wananchi tukawa tuna uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko viongozi
 
Inawezekana kipimo walikipata baada ya kuangalia bunge la katiba,I was also worried na point za kijingajinga na zomea zomea ya baadhi ya wajumbe.Mh Kikwete kawaumbua kwa kumpa Nishani ya muungano yule waliyekuwa wakimtukana kwa nguvu zote na kumbandika kila jina bovu,honestly ninasema na nimewahi kusema kuwa pamoja na kuwa siipendi sana CCM,lakini Kikwete ninampenda na kum admire sana japokuwa sijawahi kumpigia kura ya ndio.
 
Watanzania tuna IQ ndogo sana,watu wenye IQ kubwa hawawezi kuchagua ccm,eti bil 200 zimepotea tena BOT taifa la wajinga hili,sijawahi ona.
 
Kama ni kweli kwanini hawa jamaa huwa tunawakimbiza darasani?
Kuna makosa mahali fulani kwenye hizo takwimu na tafiti...si bure.
 
Sipingani na uchunguzi wao pia naamini uchunguzi huo ulichukuriwa kwa wanaojiita maprofesa wetu ila endapo wangelifika kwa watu walio wa chini kabisa kielimu hakika leo hii dunia ingebidi ituundie timu ya msaa .Nadiriki sema hivi kwani watu wengi hawana ufahamu wa kujitambua wenyewe sasa ikiwa huna ufahamu wa kujitambua wewe bnafsi kamwe huwezi kuwa vizuri katika akiri yako.pia watanzania wengi hawafahamu kipi wanachohitaji na ndoomana huwa wanatumia mda mwingi kufatilia mambo yasio na tija wala faida ktk maisha yao.mtu wa namna hiyo kamwe huwezi mweka ktk kundi la watuwenye uelewa mkubwa
 
ila utafiti una ukweli flani vile mana Watanzania hadi ma prof hadi wa chini kabisa ufikiri wao hauridhishi kabisa tena cku zinavozidi enda ndo tatizo linazidi
 
Kama ni kweli kwanini hawa jamaa huwa tunawakimbiza darasani?
Kuna makosa mahali fulani kwenye hizo takwimu na tafiti...si bure.

Akili ya darasani tunayo ila mambo mengine ni zero ndio maana tunaona technolojia nyingi wamegundua wao. Madini tunayo na bado tunawafuata waje wstuchimbie.
 
watanzania si utani iq zetu zimehama mlinganyo ndio maana tunaishi kwa upambe na makelele na kusaini mikataba ya kikanjanja hatuna kumbukumbu mheshimiwa wetu aliwahi kubishia documentary yani ukweli wa mtu na camera juu ya mapanki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…