Dr.Mo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 3,809
- 1,649
Hivi watu wengine huwa mnasoma mnachoandika kweli..?!Na wewe ni mtaalamu wa mambo ya IQ kuzidi FaziaFoxy aka "Pedagogist at Heart"? Dr. Mo. Please! Au na wewe ni wale madoctor wa mambo ya Nyota?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi watu wengine huwa mnasoma mnachoandika kweli..?!Na wewe ni mtaalamu wa mambo ya IQ kuzidi FaziaFoxy aka "Pedagogist at Heart"? Dr. Mo. Please! Au na wewe ni wale madoctor wa mambo ya Nyota?
mbona wanaccm wengi hawawezi kujenga hoja zaidi ya mipasho? hata dr kikwete alikwepa/alikimbia mdahalo!tehe tehe tehe, na wao wamezaliwa mwaka gani?Kuna ukweli wa wazi katika report hii. Uwezo wa kureason,argue kwa facts na data kwa zama zetu unazidi kupungua sana. Mimi naisapoti report hii kwa experience yangu binafsi katika field hii ya elimu. Miaka ya nyuma tulipokuwa shule Debate zilikuwa za kisomi na nzuri sana. Kama mwalimu/mwanafunzi huchoki kusikiliza kwani watu wanajenga hoja, wanacritisize palepale tena kwahoja nzuri sana lakini kizazi hiki cha kuanzia mwaka wa 2005 kuna mbele ni tofauti na kinatia kinyaa. Si wanafunzi wa secondary au vyuoni ukiwasikiliza mijadala yao utashangaa sana na kupatwa na maswali mengi sana. Ukija kupima pia uwezo wa wanafunzi wetu wa kufaulu,kujituma katika kusoma kwa uvivu na mambo mengine kwa ngazi zote vyuo vikuu mpaka chini utakubaliana na report hii. Kuna mifano mingi sana lakini hawa viongozi wetu wa siasa pia wanaweza kuwa sample nzuri. Nisichokikubali katika report hii ni jinsi wanavyoresearch yao na mfumo wa hizo test. Kwanza sijui ni kina nani wamewafanyia interview na pia katika hiyo interview wamewahoji relevant questions au ndio zilezile waliset huko Amerika? Ukipitia syllabus ya elimu ya CAMBRIGE ukaona mode of assessment na pia mambo wanayoyasoma tena ukafananisha na mfumo wetu wa elimu unaomlimbikizia mwanafunzi mizigo mingi ya masomo hapo pia unapata picha vipi inaathiri IQ yake. Mwanafunzi anaespecialize katika masomo mawili au matatu from the bottom mpaka anapohitimu elimu yake ya juu ni ufahamu wake katika field yake lazima utakuwa mzuri sana kuliko anaebebeshwa masomo kumi O level, manne au matano Advanced level na mawili au moja katika specialization yake jumlisha na mengine matato/matano ya jumla university. Kwahali hii lazima kuwepo tofauti.
Methodology used?????????
Mimi napinga utafiti huu. Iweje sampling waitumie kwa kuwapima Mwigulu, Lusinde, Komba & the like? Walitakiwa wachanganye changanye bwana! Sasa ona matokeo yake yamekuwaje? Siku nyingine wasifanye hivyo wallah patachimbika.
Sent from my iPad using JamiiForums
Kwa vigezo vya "IQ", mtu mwenye "IQ" ya 72 atakuwa ni significantly mentally retarded hata kuvaa shati na suruali itakuwa ni shida, achilia mbali uwezo wa kutembea kwa miguu miwili na kula chakula kutumia mkono wake mwenyewe. Hata mbwa ana IQ level ya 73.
mbona wanaccm wengi hawawezi kujenga hoja zaidi ya mipasho? hata dr kikwete alikwepa/alikimbia mdahalo!tehe tehe tehe, na wao wamezaliwa mwaka gani?
Tafadhali tuheshimiana, msituchukulie kama wabunge wa CCM.
Haha!! is that a defense for your lower IQ level. Instead of obsessing why Kenya is not listed, try to improve your society and may be you can rank better in two years time. For a starter, begin with improving literacy, productivity, education, rule of law, corruption, crime, poverty, innovation in terms of patents, Nobel Prizes or Fields Medals, health care, quality of life etcwhat makes Kenya miss this list while here in the study Kenya has IQ of 72 just like Tanzania? :bounce:
lawmaina78