I am sure they used our dearest president as a sample during that intelligence testing,That's why!
Why most poorest countries are found in Africa?
hata hao wa gombe sidhani kama itakuwa imefika 200? kwi kwi kwi kwi
Nina IQ kubwa kuliko rais wangu ila tu sijabahatika kuwa kiongozi kama yeye.Si unajua tena wanaoaminiwa hawapo madarakani na wasioaminiwa ndiyo wanaotuongoza?Huyo ndio kawazidi akili kawa Rais. Fikiria wewe sasa ambae huna hata ujumbe wa nyumba kumi.
Kwi kwi kwi teh teh teh.
Mbona mwakilishi wao ana IQ mkubwa kumzidi Rais wetu?
Jinsi ulivyoandika tu, ni mzani tosha kabisa.
Ndiyo siunaona Nchi zenye lowest list nzima ni za ki Africa !
Israel yenyewe imetupwa mbali sana !
kwanza hata hiyo 72 nna wasiwasi nayo itakua chini ya hapo achen jaman taifa letu lina majitu majinga sana.
Watanzania tubadilike, huu utafiti alipimwa nani? Huku kutawaliwa kiakili kutaisha lini? Tusikubali kuaminishwa vitu visivyo na tija kwa taifa. Naona watu humu wameshaaminishwa na hao wazungu na wanaamini kabisa kwamba taifa lao lina watu wenye IQ ya chini. Nafikiri kwa watu kuamini hilo, tayari yaonyesha labda wako sahihi.
wanatumia vigezo gani kupima IQ..
na wanao husika kupima wanakua na IQ kiasi gani..?
Huhitaji hata kupima ili kujua IQ ya watanzania. Fanya uchunguzi wa maisha na harakati za watu. Kwa mfano:
1. Vipindi vya TV vyenye mvuto kwa jamii (orijino komedi)
2. Mashujaa, wanasiasa na mastaa maarufu (Kina Lulu, Kikwete na marehemu Karumba)
3. Matibabu yanayoaminika na wengi (Kikombe cha babu na maruhani)
4. Maandiko yanayosomwa na wengi: (Magazeti ya uswahili uswahili na imani za kishirikina)
5. ........
6.......
7......
.......