Tanzania IQ ranking - amongst world's lowest but over Rwanda, Cuba, Ethiopia, Malawi etc

Mimi napinga utafiti huu. Iweje sampling waitumie kwa kuwapima Mwigulu, Lusinde, Komba & the like? Walitakiwa wachanganye changanye bwana! Sasa ona matokeo yake yamekuwaje? Siku nyingine wasifanye hivyo wallah patachimbika.


Sent from my iPad using JamiiForums
 

Methodology used?????????
 
Japo hakuna uhusiano dhairi kati ya ubora wa elimu na IQ ukweli ni kwamba nchi ambayo ina wizra ya Elimu bila mitaala ya Elimu husika, Walimu waliofeli ndio kufundisha, na Mawaziri wenyevyeti vya kukugushi kuongoza wizara husika ni moja ya visababishi ya Etimate IQ ya 72 ya Tz.
BINGWA:
USA huwa wanajifanya wabishi kwa kila kitu ila hapa , wamekalizwa chini na China ( Hong Kong IQ Etimate 107 Vs USA 98).
 
Hii si ililetwa juzi juzi tukachangia, leo imerudi tena!

Kweli IQ zetu ni ndogo sana, tena hiyo "average" ya 72 bado ni kubwa sana kwa Watanzania mimi nadhani tuko kwenye 50.
 
Kweli IQ ndogo. badala ya kujisikitikia tunaanza kuangalia nani tupo nae pamoja. Eti na Kenya hatuchekani, mara Uganda wametupita kamoja tu!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kama wameangalia kigezo cha umasikini naunga mkono hoja. kuna vichwa panzi vingi sana katika nchi hii ambavyo vikipata kanafasi tu vinasahau vilipotoka na kujiona vimeshanunua dunia. Nyodo na ngebe badala ya kusaidia wengine. Na hapo umetupendelea sisi ni wa mwisho kabisa. haiwezekani na wala haiingii akilini mtu kusaini mikataba ya kijinga kisa kaahidiwa kazawadi.
 
hawa wajinga kweli yani sample wawafanyie ccm waseme ya tanzania nzima. Hivi wangekutana na lisu tungekuwa wa ngapi ?
 
hawa wajinga kweli yani sample wawafanyie ccm waseme ya tanzania nzima. Hivi wangekutana na lisu tungekuwa wa ngapi ?

Ukimuongeza hapo Jussa, Kafulila.Wao wameenda kuwafanyia sampling Interahamwe.
 
Ndio maana tuna wabunge mizigo.. Nimeikubali Environmental factor.. maana pia watoto wa chini ya mika 5 42% huwa wanadumaa kwa kukosa lishe bora na hapo ndo huwa low IQ inatokea maana ubongo unaamua kufanya kazi ya kuulinda mwili usife na unaacha kazi ya kuendeleza ubongo.
 
Kwa vigezo vya "IQ", mtu mwenye "IQ" ya 72 atakuwa ni significantly mentally retarded hata kuvaa shati na suruali itakuwa ni shida, achilia mbali uwezo wa kutembea kwa miguu miwili na kula chakula kutumia mkono wake mwenyewe. Hata mbwa ana IQ level ya 73.
 

Nadhani huyo Mbwa mwenye 73 atakuwa Mbwa wa Ulaya, aliyelelewa na kunzwa akafunzika.
 
hiki kipimo ni cha uwongo hakipo accurate sawa sawa mi nilikifanya hicho tangu mwaka 2001 nipo form 5,kinabase sana kwenye data ambazo ordinary person cant even know mfano unaulizwa mshipa mkuu unaopitisha damu nchini unaitwaje?
sasa swali kama hilo ni gumu kwa m2 asiyekwenda shule na yule asiyechukua sayansi hata kama alishawahi kusoma kutokana na kusahau pili kinabase sana na specialization kama vile sayansi na hesabu sasa mtu asiyesoma ni vigumu kujua hayo masomo hata hiyo spatial test ni pekee ambayo haidili na somo lolote lakini haibebi marks nyingi ktk whole test.mi nafikiri kipimo halisi cha IQ ya m2 ni pale mzungu anapotoka ulaya kuja kununua dukani kwa mswahili,je mswahili atamzidishia mzungu bidhaa aliyokuja kununua mara 2 au *5 kwa sababu tu yeye ni mzungu. akienda maduka 10 maduka 6 akizidishiwa basi hapo IQ yetu itakuwa ni ndogo kweli.
 
Ni kweli kabisa.. Mi nadhani hata ni ndogo ukilinganisha na hiyo.. Ikitaka kujua kaa na vijana wengi wa kawaida wa kitanzania mwenye miaka 27 kushuka chini.. Mawazo yake makubwa ni mademu na pombe..
 
Ni kweli kabisa.. Mi nadhani hata ni ndogo ukilinganisha na hiyo.. Ikitaka kujua kaa na vijana wengi wa kawaida wa kitanzania mwenye miaka 27 kushuka chini.. Mawazo yake makubwa ni mademu na pombe..
Na wewe ni mtaalamu wa mambo ya IQ kuzidi FaziaFoxy aka "Pedagogist at Heart"? Dr. Mo. Please! Au na wewe ni wale madoctor wa mambo ya Nyota?
 
Nyie watu jamani you're a big embarrasment. Hamjui kutofautisha kati ya personal convictions zenu binafsi, freedoms za watu ambao hawana imani zenu, na kuheshimu morals za waliotafautiana na nyie. Uislamu upo Saudi Arabia na Uarabuni. Lakini la ajabu sijaona Saudi na nchi nyingine za Kiislamu wakilalamika kuelemewa na wahamiaji kutoka nchi za Kiislamu, zaidi ya USA na nchi za Ulaya na Australia kulalamika kuhusu Wahamiaji wa Kiislamu kuvamia mipaka yao kila kukicha.
 
Waislamu bilioni 10, lakini hakuna hata mmoja anayetaka kuishi Makaah, au
hata kupata rukhsa. Wamanga mna kazi.Daadeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…