HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,238
- 1,577
Huhitaji hata kupima ili kujua IQ ya watanzania. Fanya uchunguzi wa maisha na harakati za watu. Kwa mfano:
1. Vipindi vya TV vyenye mvuto kwa jamii (orijino komedi)
2. Mashujaa, wanasiasa na mastaa maarufu (Kina Lulu, Kikwete na marehemu Karumba)
3. Matibabu yanayoaminika na wengi (Kikombe cha babu na maruhani)
4. Maandiko yanayosomwa na wengi: (Magazeti ya uswahili uswahili na imani za kishirikina)
5. ........
6.......
7......
.......
5.Tuko makini na Simba,Yanga,Cheisea,Arsenal,Man U,Madrid n.k. na kuacha mambo ya msingi.
6.Tunaiba mapesa nyumbani tunapeleka Uswisi.
7.Tunashabikia watawala wale wale mufilisi na kutarajia matokeo tofauti.
8.Wilaya inahitaji kisima cha milioni 10,DC anazurura na VX la milioni 120.