Hapo ndipo tatizo lenu ninyi wakenya lilipo, kila kitu mnapima katika monetary terms, kila kitu lazima mpime kwenye utajiri wa Mali. Hamna ubinadamu kabisa, mnauwana left and right ili kupata Mali, hamuwathamini watu wenye kipato cha chini.
Kenya hamtokaa mpate amani kwasababu ya tabia yenu ya kupenda pesa zaidi ya Mungu, ninyi ni sawa na wanyama wa porini. Kenya kila politician ni lazima awe tajiri, huku kwetu sio hivyo kabisa, Tundu Lisu sio tajiri, just hustler.
Sent using
Jamii Forums mobile app