Tanzania is 2nd to USA in tourists visiting Kenya in 2018

😂😂😂😂 Mmeendelea in jiggers distribution indeed
ukute hao wageni wanaong'ang'ania kuingia Kenya kutoka Tz ni wale wale tunaowajua wa kutembeza bakuli. sasa tangu lini ombaomba akawa 'big-money spender' kwenye nchi jirani iliyoendelea?
 
Tell them you are an expert in terrorism, tell them you have been terrorising albinos by kidnapping them since your childhood.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha, kwakushirikiana na GoK tulipanga mipango ya kuvamia west gate mall ili kumaliza kabila moja hasimu, na tulipanga mpango wa kuwatorosha wahusika kwa lengo la kupoteza ushahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]..... field study ya ukabila kafanyie Jubilee, ya ugaidi utachagua kati ya Al shabaab au Mungiki. Uki graduate Al qaeeda wana kupa managerial position bila tabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha, asante sana kwa ushauri wako, bahati nzuri kozi zote hizo zinapatikana hapa Kenya, field wamesema nitaenda kufanya kati ya Garisa au Lamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha, kwakushirikiana na GoK tulipanga mipango ya kuvamia west gate mall ili kumaliza kabila moja hasimu, na tulipanga mpango wa kuwatorosha wahusika kwa lengo la kupoteza ushahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana USA warned her Citizens not to come to Tz, the rate of terrorism is scaling at a higher rate down there in lazyland.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana USA warned her Citizens not to come to Tz, the rate of terrorism is scaling at a higher rate down there in lazyland.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha, taja tukio moja lilitokea mwaka Jana Tanzania linalihusishwa na ugaidi, kitu kilichoifanya Marekani kutoa hilo tamko ni matamshi ya Makonda kuhusu kuwasaka na kuwakamata mashoga.

Kenya ninyi ndio nchi pekee Africa ukiacha Somalia yenye kupewa warnings za terrorism mara kwa Mara, Tanzania haijawahi kuhusishwa na any type of active terrorism zaidi ya wasiwasi kwamba huenda tukakumbwa na terrorism kwasababu ya kupakana na Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnakuja hapa wengi kama omba omba na kutafuta proper medication
 
Sasa mbona unalia? Sikuskii vizuri, ebu sema tena bila Julia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tundu lisu is richer than you MF..
Hapo ndipo tatizo lenu ninyi wakenya lilipo, kila kitu mnapima katika monetary terms, kila kitu lazima mpime kwenye utajiri wa Mali. Hamna ubinadamu kabisa, mnauwana left and right ili kupata Mali, hamuwathamini watu wenye kipato cha chini.

Kenya hamtokaa mpate amani kwasababu ya tabia yenu ya kupenda pesa zaidi ya Mungu, ninyi ni sawa na wanyama wa porini. Kenya kila politician ni lazima awe tajiri, huku kwetu sio hivyo kabisa, Tundu Lisu sio tajiri, just hustler.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Oii
Hili ni ushahidi kuwa Tanzania na Kenya ni ndugu wa damu. Wengi wanakwenda Kenya kutembelea ndugu zap na siyo kutalii.
Acha kujikomba kwa hawa nyang'au..undugu gani tulio nao. Watanzania wanaenda huko kupiga hela, undugu waachie Omera.
 
Hili ni ushahidi kuwa Tanzania na Kenya ni ndugu wa damu. Wengi wanakwenda Kenya kutembelea ndugu zap na siyo kutalii.

Kuna aina ya utalii unaitwa VFR ( Visiting Friends and Relatives)


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
poor man enda kwa fake hospitals hapo kama jakaya kikwete hospital wacha lisu akuje kwa the best health system in E & C Africa
 
And these are documented ones, plenty of them are undocumented, watz sasa wamejaa sana zambia, mozambique despite lynching us, plenty in Ug, Rwanda, Burundi, Congo, South Africa, comoro.
Watatii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kujikomba kwa hawa nyang'au..undugu gani tulio nao. Watanzania wanaenda huko kupiga hela, undugu waachie Omera.
Ndugu uelewa wako unatia shaka sana. Nani alikwambia mpaka wa Kenya na Tanzania uko kwa akina "omera" peke yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…